Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hii ni siri tena siri nyeti kabisa ni mwaka wa watumishi kucheka nq kufutahia matunda ya kujituma kwao

Baada ya kuunganisha nchi na kuibua viwanda (ukijenga ukamaliza pesa inatulia) sasa ni zamu ya watumishi wa umma kupiga pesa kama kawaida kweli jpm alijipanga

Kuna habari kuwa bajeti ya mwaka huu itajaa ongezeko kubwa la mishahara na kuajili watumishi wapya wa kutosha vijana wengi waliomaliza vyuo sasa mkae mkao wa kula maisha ndio haya

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ulaghai haukubariki aiseeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM huwa mnatuona watanzania hatuna uwezo wa kufikiri
Hawa watu ni shida kwa nchi hii na ustawi wetu.Hawana Sera wala itikadi yoyote ya kuwaletea Watanzania maendeleo.Wamebobea kuhadaa wananchi kwa slogans nzuri nzuri kila wakati wa uchaguzi,wakiingia madarakani wana kiburi cha kuangamiza wanaowakosoa/wanaohoji utendaji wao.
 
Hii ni siri tena siri nyeti kabisa ni mwaka wa watumishi kucheka nq kufutahia matunda ya kujituma kwao

Baada ya kuunganisha nchi na kuibua viwanda (ukijenga ukamaliza pesa inatulia) sasa ni zamu ya watumishi wa umma kupiga pesa kama kawaida kweli jpm alijipanga

Kuna habari kuwa bajeti ya mwaka huu itajaa ongezeko kubwa la mishahara na kuajili watumishi wapya wa kutosha vijana wengi waliomaliza vyuo sasa mkae mkao wa kula maisha ndio haya

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni matokeo ya kukosa mlo kamili. Ukipata mlo mmoja kwa siku tena usio kamili lazima uwezo wa kufikiri utakuwa mdogo.
 
Janja ya nyani hio.

Ukitaka kukamata kuku kwa urahisi mdondoshee punje za mahindi mpk ndani kwako,akiingia ndani funga mlango mchinje.

tapatalk_1573980728131.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUNATEKELEZA:
Vijiji zaidi ya 8000 kati ya vijiji 12000 nchini Tanzania vimefikiwa na umeme wa REA.Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 ni vijiji 2000 pekee ndio vilikuwa vimepata umeme

Hivyo ndani ya miaka minne ya mheshimiwa Rais Magufuli madarakani vijiji zaidi 6000 vimepelekewa umeme.
Huu ni utekelezaji wa ahadi uliotukuka.

Ikumbukwe wakati Rais Magufuli anaingia madarakani vibaraka wa mabeberu pamoja na wapinga maendeleo walipeleka umbea ughaibuni na hatimaye Serikali kunyimwa fedha za MCC zilizokuwa zitumike kupeleka umeme vijijini.

Serikali madhubuti ya CCM chini ya Babalao Magufuli ilijidhatiti na kuendelea kutumia fedha za ndani na hatimaye leo hii tunashuhudia matokeo chanya na ya haraka.

VIVA MAGUFULI VIVA CCM YA MAGUFULI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
kajitahidi lakini unavyosema sio ukweli kamili . Umeme uliongezeka sana wakati wa Millennium Fund ya George Bush na ilivyosimama baada ya uchaguzi Magufuli akaendeleza. Lakini kusema yeye ndiye kaleta umeme kwa 73% ya vijiji si kweli! Na sehemu nyingi umeme tayari ulikuwa umefika vijiji vingine vya karibu. Naona kama kawaida ya wengi kuna vitu kwa maksudi mnajisahaulisha. Wakati wa Kikwete umeme uliwekwa zaidi sema tu pesa ilikuwa sio yetu kama sasa.
 
Back
Top Bottom