kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
.ila ndio hivyo tuna raisi bora wananchi wabovu
Mkuu ugali na dagaa haulipi mishahara ya wafanyakazi wa umma wala kununua dawa za hospitali zetu,Think bigUgali wa mahindi na dagaa huwa unaagiza nje ya nchi? Acha ulimbukeni wa kulialia, tatizo likishajitokeza kuwa moyo wa kiume na jiandae kulikabili siyo kulalamika. Unataka Rais afanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe baki tu kwenye magroup yenu ya bavichaNyuzi za namna hii ili nisiwe naziona na kujikuta natukana huwa nawaweka kwenye ignore list. Na wewe kuanzia sasa umeingia rasimi kwanye ignore list yangu.
Nyie member wapya mnafanya JF kama takataka. Umejoini leo ili ulete takataka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona inawafyeka sana ninyi watu.Tuambie Ni vigezo gani ametumia kujua new cases zimepungua?Kwa mtu mwenye akili timamu tu ndiye atakayemuelewa Mzee Magufuli. Lakini hizi akili za watoto wa siku hizi ni ngumu kumuelewa. Kwangu namuona ni mtu aliye na maono mazuri japo ukweli kwenye visilani vyake simuungi mkono mzee wangu
Una point nzuri sana, ila ni lugha ya kifilosofia, wenye akili ambao ni wachache watakuelewa, mamluki wengi (wa akili) kwao gizaWanaofunga vioo wapo ndani sie tupo nje, hapo hakuna tatizo. Wakikosa pumzi watafungua tu.
Mkuu unajua kwa nini hatukuwafungia? Hayo maroli Kama hayajavuka huo mpaka wewe pesa ya kulipa mishahara au kununua dawa utaipata wapi? Usifikiria Kama magu.Tanzania si nchi pekee hapa duniani inayolima mahindi au maharage.mwaka juzi nchi ya Malawi ilikuwa na njaa,Ila waliamua kuagiza mahindi toka Brazili while pale Mbeya ambapo ni pua na mdomo na Malawi mahindi yalikuwa yanawaozea wakulima kwa kukosa soko.Ni akili mbovu kudhani sisi ni special country hivyo hatukwepeki.Una point nzuri sana, ila ni lugha ya kifilosofia, wenye akili ambao ni wachache watakuelewa, mamluki wengi (wa akili) kwao giza
uchaguzi ukiwa huru jiwe hafikishi hata 20%Nitashangaa sana akipata kura chini ya 98%.
[emoji23]hakuna binadamu ambaye ni "ideal" hivyo magufuli kama wanadamu wengine naye ana mapungufu yake,lakini kwenye kiti cha uraisi huyu mbabe kafiti vizuri sana.hakuna ubishi kwa sasa huyu ndiye raisi bora afrika,,,.ila ndio hivyo tuna raisi bora wananchi wabovu
hata comment yako imeonyesha jinsi Rais alivyoharibu kizazi kukijaza uoga. Yaani imefika hatua hata kutaja jina la kiongozi anayefanya hovyo tunaogopaRais Magufuli ni jembe kila mtu anajua, ila kuna baadhi ya wasaidizi wake wanapaswa wampishe maana wanamchafulia tuu hasa yule RC na DC fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
JEMBE LILILOFICHAMA KWA UOGA WA KUFA, AH AH JEMBE KWENU NYIE MAFALAMkuu unapigia mahesabu ya Uchaguzi 2020?
Hivi kuna Mtanzania anayeipenda Tanzania ataacha kumpigia kura Rais Magufuli ? Ampigie nani sasa!
And also the vise verser can be true. Remember a coin is a true coin - legal tender when it has 2 accepted sides.Mkuu Sodabeer, yawezekana kabisa hilo unalolisema likawa sahihi kwa upande wako, lkn cha msingi ni uhalisia wake wote ktk "public domain". Kwa sababu, kuwa na "limited mind" juu ya mambo ya kitaalamu, haimpi mtu kuwa shujaa kwa wale wenye uelewa, pengine kwa wale wajinga ambao wanamzunguka na kumshauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni vita, lazima utafute kichaka kizuri ili adui yako asikuone kwa urahisi.
JEMBE LILILOFICHAMA KWA UOGA WA KUFA, AH AH JEMBE KWENU NYIE MAFALA
jinga wewe