Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kwa mtu mwenye akili timamu tu ndiye atakayemuelewa Mzee Magufuli. Lakini hizi akili za watoto wa siku hizi ni ngumu kumuelewa. Kwangu namuona ni mtu aliye na maono mazuri japo ukweli kwenye visilani vyake simuungi mkono mzee wangu
 
Ugali wa mahindi na dagaa huwa unaagiza nje ya nchi? Acha ulimbukeni wa kulialia, tatizo likishajitokeza kuwa moyo wa kiume na jiandae kulikabili siyo kulalamika. Unataka Rais afanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ugali na dagaa haulipi mishahara ya wafanyakazi wa umma wala kununua dawa za hospitali zetu,Think big
 
Nyuzi za namna hii ili nisiwe naziona na kujikuta natukana huwa nawaweka kwenye ignore list. Na wewe kuanzia sasa umeingia rasimi kwanye ignore list yangu.

Nyie member wapya mnafanya JF kama takataka. Umejoini leo ili ulete takataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe baki tu kwenye magroup yenu ya bavicha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtu mwenye akili timamu tu ndiye atakayemuelewa Mzee Magufuli. Lakini hizi akili za watoto wa siku hizi ni ngumu kumuelewa. Kwangu namuona ni mtu aliye na maono mazuri japo ukweli kwenye visilani vyake simuungi mkono mzee wangu
Corona inawafyeka sana ninyi watu.Tuambie Ni vigezo gani ametumia kujua new cases zimepungua?
 
..hivi kuna Raisi mwingine amejificha kijijini wakati huu wa covid19 kama alivyofanya Jiwe?
 
Wanaofunga vioo wapo ndani sie tupo nje, hapo hakuna tatizo. Wakikosa pumzi watafungua tu.
Una point nzuri sana, ila ni lugha ya kifilosofia, wenye akili ambao ni wachache watakuelewa, mamluki wengi (wa akili) kwao giza
 
Una point nzuri sana, ila ni lugha ya kifilosofia, wenye akili ambao ni wachache watakuelewa, mamluki wengi (wa akili) kwao giza
Mkuu unajua kwa nini hatukuwafungia? Hayo maroli Kama hayajavuka huo mpaka wewe pesa ya kulipa mishahara au kununua dawa utaipata wapi? Usifikiria Kama magu.Tanzania si nchi pekee hapa duniani inayolima mahindi au maharage.mwaka juzi nchi ya Malawi ilikuwa na njaa,Ila waliamua kuagiza mahindi toka Brazili while pale Mbeya ambapo ni pua na mdomo na Malawi mahindi yalikuwa yanawaozea wakulima kwa kukosa soko.Ni akili mbovu kudhani sisi ni special country hivyo hatukwepeki.
 
hakuna binadamu ambaye ni "ideal" hivyo magufuli kama wanadamu wengine naye ana mapungufu yake,lakini kwenye kiti cha uraisi huyu mbabe kafiti vizuri sana.hakuna ubishi kwa sasa huyu ndiye raisi bora afrika,,,.ila ndio hivyo tuna raisi bora wananchi wabovu
[emoji23]
 
Rais Magufuli ni jembe kila mtu anajua, ila kuna baadhi ya wasaidizi wake wanapaswa wampishe maana wanamchafulia tuu hasa yule RC na DC fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
hata comment yako imeonyesha jinsi Rais alivyoharibu kizazi kukijaza uoga. Yaani imefika hatua hata kutaja jina la kiongozi anayefanya hovyo tunaogopa
 
Mkuu unapigia mahesabu ya Uchaguzi 2020?

Hivi kuna Mtanzania anayeipenda Tanzania ataacha kumpigia kura Rais Magufuli ? Ampigie nani sasa!
JEMBE LILILOFICHAMA KWA UOGA WA KUFA, AH AH JEMBE KWENU NYIE MAFALA
 
Mkuu Sodabeer, yawezekana kabisa hilo unalolisema likawa sahihi kwa upande wako, lkn cha msingi ni uhalisia wake wote ktk "public domain". Kwa sababu, kuwa na "limited mind" juu ya mambo ya kitaalamu, haimpi mtu kuwa shujaa kwa wale wenye uelewa, pengine kwa wale wajinga ambao wanamzunguka na kumshauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
And also the vise verser can be true. Remember a coin is a true coin - legal tender when it has 2 accepted sides.
 
Mh. Tangu corona iingie uliutambua mchezo.
Uliyasoma mazingira ya Tanzania kwamba usipokuwa shupavu ,ili kuokoa maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa watanzania
Tumtangulize Mungu .
Ulielewa kama corona ipo IPO tu. Na watu lazima waizoee
Ulielewa hata kabla ya corona vifo vipo na vitaendelea kuwepo
Ulielewa njia pekee ni kumkimbilia Mungu na kufuata ushauri wa madaktari.
Sasa umeelewa taifa bila wataalam litakuwa taifa butu, ndo maana umeruhusu wiki kesho kuanza na wanafunzi wa elimu ya juu. Huku kukiwa na tahadhari ya kujikinga bila kuharibu shughuli .
Michezo pia ukatambua ni sehemu. Ya kuimarisha immune zetu dhidi ya corona
Bwana Mungu wako azidi kukushindia na kukupa maarifa kama haya uloonesha jana
 
Hahaha yeye anasema KOLONA nyie mnasema Corona, hamumuelewi rais wetu msimuwekee maneno mdomoni.
Kawavusha kutoka wapi na mko wapi sasa?!
 
Back
Top Bottom