Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kwa hiyo ulitaka wafunge mipaka au wakae lockdown kila siku?

Hivi nyie nyumbu/wapumbavu wa Lumumba mna akili?
 
Dunia inatakiwa kukubali kuishi na huu ugonjwa wakati jitihada za kutafuta chanjo zinaendelea, Tahadhari ni Muhimu lakini ni vigumu kumfungia binadamu wakati wote.
cc: Wazee wa Lockdown.
 
Ukiachana na kumuongelea kilaza mzoefu / ngoja tuongelee hili jambo.


chadema is the political party which power belongs to the peoples
 
Tukubaliane na Serikali usambazaji Umeme vijijini.

Maeneo Mengi hapa nchini Umeme umeunganishwa hali inayopelekea zahanati na vituo vya Afya kuwa na Umeme.

Nakumbuka adha waliyopitia wamama wajawazito Mara wapatapo uchungu, kumulikwa kwa kibatari na kuruzi wakati wa kujifungua.

JPM kupitia kwa waziri wa Nishati amesimamia vema suala hili.
 
Jambo la muhimu sana jpm ataicha nchi nzima umeme unawaka
 
Naunga mkono hoja. Pia napendekeza wakazi wa mjini pia wapate huduma ya umeme wa UMETA ili kuondoa kero hasa kwenye nyumba za kupanga au fremu za maduka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…