Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Ukweli mchungu ni kwamba akimalizana na upinzani anahamia kwenu ninyi MATAGA![emoji847][emoji847][emoji847]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli!!Akishatawala milele huo uzuri unaouona leo hautauona bali utajutaaa tena utajutaa hasaaa.
Nimepinga yy kutawal milele hii nch inawatu wengi mno wanaoweza kuongoza..kama mwalimu mwenyew aliondoka who is magufuli...wapo wanaoweza fanya vzur zaidi yake.Ndo maana nimesema atawale milele! Mama pia na Mimi nikiwemo mbona lugha simple tu!!
Tatizo wabongo wengi, hata Mtu akifanya vizuri ni kupinga tu!!
Hivi haya mnayoyandikaga huwa yanatoka moyoni mwenu kweli,naogopa sana mtu anaenisifia Mara hoo hiki na kile huwa simwamini,tuliwaona watu wengi kipindi cha jk ila leo hamkubali kama kuna kitu amefaya au amelifanyia taifa ili tofauti na kumnangaTumemuomba Mungu sana atupe Rais na Mungu kajibu maombi yetu!, kwa mtazamo wangu kwa Kazi ambazo Rais magufuli anazifanya, nawaombeni watanzania Rais magufuli atawale mpaka achoke, haina haja kuwa na uchaguzi wa Rais, tuwe na uchaguzi wa wabunge, na madiwani , tuwe kama China
Note: Mimi ni mpinzani kweli kweli, ila nilikuwa napinga maovu haliyokuwa yanafanywa na viongozi wa nyuma, ila kwa sasa sina cha kupinga jamani, kila kitu kinafanywa lazima niunge juhudi hizi! Magufuli nakukubali toka moyoni na sio tu kukubali nakuombea sana, ww una vyitu hivyi ambavvyo Hamna kiongozi duniani anavyo
1: ww una hofu na Mungu
2: huna upendeleo kwenye kuteua na kutengua
3: unakiishi ulichokiapa
4: unasimamia maamuzi yako
5: unasimamia rasili Mali za watanzania kikamilifu
6: huna majivuno
7: una utu sana
8: unasimamia haki
9: una maono ya mbali sana
10: una upendo sana Rais wetu
We love u sana!!
China mpaka wanamuidhinisha Rais wao kuwa Rais wa maisha, je Hamna watu pale???? Hacha mawazo mgando!! Yoweri mseveni huu mwaka wa ngapi???? Hamna wananchi pale wa kuongoza???? Kagame huu ni mwaka wa ngapi????? Hamna wananchi pale wa kuongoza??? Mnataka kutuletea undugulization ikulu kama uongozi wa awamu iliyopita!!!Nimepinga yy kutawal milele hii nch inawatu wengi mno wanaoweza kuongoza..kama mwalimu mwenyew aliondoka who is magufuli...wapo wanaoweza fanya vzur zaidi yake.
Nasema kile kilichopo moyoni mwangu Sina haja ya kuweka namba za simu!!umesahau kuweka namba za simu mkuu
Rais magufuli haitaji kampeni, Kazi zake tu ni kampeni, huyu Rais ni chaguo la Mungu kwa sababu!
1: ana hekima
2: amesaidia watu wa tabaka la chini ambao kimsingi ndo sauti ya Mungu.
3: nidhamu kazini imerejea saiv
4: mikopo kwa wanafunzi haichelewi tena inakuja kwa wakati
5: Hamna njaa kama kipindi cha nyuma
6: Rushwa imepungua kwa kiasi kikubwa
7: ufisadi umepungua..
8: kapunguza foleni dar es salaam.
9: Hamna wenye vyeti feki saiv tunaheshimiana kazini
10: ukifanya kosa Hamna cha kuhamishwa kama zamani ni kutenguliwa
Note:mwaka 2015 nilikuwa upinzani maana niliona CCM sio chama tena! Lakini kwa Kazi za huyu Rais magufuli, sioni sababu ya kutomuunga Mkono!