Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Vichwa vimeliwa vya kutosha, mmoja aliponea chupuchupu baada ya kumiminiwa za kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUNGU NA WANANCHI WANAWEZA KUULAZIMISHA UWANJA KUWA SAWA, HAIJALISHI KAMA KUNA TUME HURU AU HAKUNA. MUNGU AKIAMUA ANATIA AKILI VICHWANI MWA WATU AMBAO HAWANA. WATZ WENGI VICHWA NI VITUPU, NA WATAWALA WANATAKA WAENDELEE KUWA WATUPU. UMEZUNGUMZIA NDEGE KWA MFANO. HIVI INA MAANA GANI KWETU WATZ KUWA NA NDEGE AMBAZO HATA HATUJUI THAMANI YAKE HALISI NA WALA HATUJUI MADENI YANAYOKOPWA TUTAKUJA KUYALIPAJE? UKIONA MTANZANIA ANASHANGILIA BARABARA NA RELI AMBAZO GHARAMA ZAKE (UPATIKANAJI WA FEDHA ZA KUGHARAMIA) WANANCHI KUPITIA BUNGE LAO HAWAJUI, HUYO MTU NI WA KUHURUMIWA,ANAHITAJI KUKOMBOLEWA!Duh! wewe jamaa uwe unaweka na paragraph kwenye andiko lako.
Anyway, huyo jamaa angeruhusu uwanja sawa wa kufanya siasa, angeshangazwa sana na matokeo ya kwenye uchaguzi muu wa mwaka huu 2020.Ukweli Watanzania hawahitaji ndege na madaraja tu! Wanahitaji pia 'mkate'
Na mkate huo huo ndiyo ulio wapindua watawala wa Ufaransa mwaka 1789 na pia Urusi mwaka 1917. Watanzania wanataka maisha bora na siyo bora maisha kisa eti unanunua ndege.
Mbona linasomeka fresh tu!Andiko halisomeki
MUNGU NA WANANCHI WANAWEZA KUULAZIMISHA UWANJA KUWA SAWA, HAIJALISHI KAMA KUNA TUME HURU AU HAKUNA. MUNGU AKIAMUA ANATIA AKILI VICHWANI MWA WATU AMBAO HAWANA. WATZ WENGI VICHWA NI VITUPU, NA WATAWALA WANATAKA WAENDELEE KUWA WATUPU. UMEZUNGUMZIA NDEGE KWA MFANO. HIVI INA MAANA GANI KWETU WATZ KUWA NA NDEGE AMBAZO HATA HATUJUI THAMANI YAKE HALISI NA WALA HATUJUI MADENI YANAYOKOPWA TUTAKUJA KUYALIPAJE? UKIONA MTANZANIA ANASHANGILIA BARABARA NA RELI AMBAZO GHARAMA ZAKE (UPATIKANAJI WA FEDHA ZA KUGHARAMIA) WANANCHI KUPITIA BUNGE LAO HAWAJUI, HUYO MTU NI WA KUHURUMIWA,ANAHITAJI KUKOMBOLEWA!
Habar Wana jamiforums
Wahenga wanasema ukiona ndoto zako ulizo panga zinakamilka ujue mungu yupo nyuma ya mipango yako na amebariki mipango yako
Kimichezo namuona Magufuli kama Clopp wa Liverpool
Mungu akutunze Rais wetu mpendwa kwa niamba ya Familia yangu Tunakupongeza kwa juhud zako mungu akutangulie
Pia kwa niamba ya Wana Jamiforums Tunakupongeza Rais wetu Mpendwa
Nan kama Magufuli [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Maendeleo hayana Chama
Sorry nimemtumia Donacountry sababu ndio Maarufu na kila mtu ataelewa nazungumzia Nini
Aamin rabbil aaalamin,yaani huyu baba kwa kweli daah...yaani ingekuwa wababa wote marais wako ka yy afrika yetu isingekuwa hivi ya wengi wetu tunaofikiri baada ya kunywa faru John ile hatimiliki ya Yule mwenyekiti..Habar Wana jamiforums
Wahenga wanasema ukiona ndoto zako ulizo panga zinakamilka ujue mungu yupo nyuma ya mipango yako na amebariki mipango yako
Kimichezo namuona Magufuli kama Clopp wa Liverpool
Mungu akutunze Rais wetu mpendwa kwa niamba ya Familia yangu Tunakupongeza kwa juhud zako mungu akutangulie
Pia kwa niamba ya Wana Jamiforums Tunakupongeza Rais wetu Mpendwa
Nan kama Magufuli [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Maendeleo hayana Chama
Sorry nimemtumia Donacountry sababu ndio Maarufu na kila mtu ataelewa nazungumzia Nini
Wacha weeee !!!Hakika,tuna kila sababu ya kuipongeza serikali.
Viva Magufuli,
#matege
Uchumi wa kati kutoka mwisho. Yani tusema upo kundi la pili kutoka mwisho.Nadhani tumepakwa mafuta kwa mgongo wa chupa! Hakuna cha uchumi wa kati.