Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kubalini tume huru kuwe na uchaguzi wa ki demokrasia. Hatujawahi kumchagua Rais Tanzania. Tumechoka kuongozwa na watu wachache wanaofanya maamuzi ya walio wengi.

Kile kikao cha CCM kule Dodoma mnakiita bunge hakina ridhaa ya wananch.
 
NB: Kasomeni comment kwenye post ya milady Ayo inayosema "Mbowe ataka chanjo iwe lazima" ndio mtajua watu walio nyuma ya JPM ni wengi kuliko inavyoaminishwa hapa JF
Hakuna cha ajabu hapo ndugu Nebuchadinezzer na kwa kukazia tu...naye shetani anao wafuasi wengi kuliko inavyoaminishwa hapa JF!
 
Ndege alizonunua ni ngapi ambazo ni functional?

Mbuga ni ardhi na wala kwa hivyo ni lazima iendelee kuwepo, Serengeti, Mikumi, na zingine zilianzishwa hata kabla mwendazake hatarajii kuwa kiongozi na bado zipo

Ila umesahahu kubwa mja tu nalo ni DENI ALILOTUACHIA NALO BADO LIPO NA LINAENDELEA KUKUWA!
 
Sijasikia mtu kutekwa au kupotea wala miili ya watu kutupwa kwenye mito au baharini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…