Nashawishika kumwomba JPM atuombee huko aliko kwa sababu wakati wa utawala wake:-
1.Mfuko wa mbolea uliuzwa kwa sh.45,000/- na sasa ni sh.135000/- . Ongezeko la 200%.
2. Nauli ilikuwa sh. 1500/- lakini sasa ni sh. 4000/-. Ongezeko la 167%
3. Huduma katika Ofisi za umma zilipatikana kwa urahisi lakini sasa ni taabu tupu.
4. Vibaka + Panyaroads walifutiliwa mbali lakini sasa wametapakaa kila kona.
5. Ajali za Barabarani zlipungua sana lakini sasa haipiti siku hujasikia ajali kadhaa zimetokea.
6. Wapigaji hawakuwa na nafasi hata kidogo lakini sasa ndo wenye mamlaka.
Itoshe tu kusema, tutaendelea kumkumbuka, kumuenzi na kumwomba atuombee huko aliko tukiamini kwa kazi hii nzuri aliyoifanya, Mungu asiye na hasira na aliye mwingi wa Rehema atamsikiliza hakika.