Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nashawishika kumwomba JPM atuombee huko aliko kwa sababu wakati wa utawala wake:-

1.Mfuko wa mbolea uliuzwa kwa sh.45,000/- na sasa ni sh.135000/- . Ongezeko la 200%.

2. Nauli ilikuwa sh. 1500/- lakini sasa ni sh. 4000/-. Ongezeko la 167%

3. Huduma katika Ofisi za umma zilipatikana kwa urahisi lakini sasa ni taabu tupu.

4. Vibaka + Panyaroads walifutiliwa mbali lakini sasa wametapakaa kila kona.

5. Ajali za Barabarani zlipungua sana lakini sasa haipiti siku hujasikia ajali kadhaa zimetokea.

6. Wapigaji hawakuwa na nafasi hata kidogo lakini sasa ndo wenye mamlaka.

Itoshe tu kusema, tutaendelea kumkumbuka, kumuenzi na kumwomba atuombee huko aliko tukiamini kwa kazi hii nzuri aliyoifanya, Mungu asiye na hasira na aliye mwingi wa Rehema atamsikiliza hakika.
 
Kwani wewe taarifa za habari za ulimwengu huwa husikilizi??,bei za huduma na bidhaa Katika Nchi zote Diniani zimepanda.
Nchi pekee ambayo bidhaa na huduma hazijapanda ni Urusi,ukitaka sababu za kichumi sema tukuelezee.
 
Bora kua na uchumi kama hu kuliko kuua wa Tanzania wasio kua na hatia homicidal dictator was JPM
 
Maiti Hana uwezo wa kukuombea wewe ulie hai Ila wewe ndo unaweza kumuombea maiti
 
Kwani wewe taarifa za habari za ulimwengu huwa husikilizi??,bei za huduma na bidhaa Katika Nchi zote Diniani zimepanda.
Nchi pekee ambayo bidhaa na huduma hazijapanda ni Urusi,ukitaka sababu za kichumi sema tukuelezee.
Bei za vitu zilianza kupanda kabla ya vita vya Urusi na Ukraine. Tunzeni kumbukumbu vizuri.
 
sura chafu kama ile haiwezi kuwa mtakatifu. ILE SURA HAIFAI HAPANA. Sijui hilo sanamu litakuja kutisha wajukuu wetu kanisani.
 
Hadi tozo vyooni ilikuwa 200 Sasa ni 300
 
Pumzika kwa amani Daktari John Pombe Joseph Magufuli the legendary and icon left in needy.
 
Alikuwa msanii sana, watu sasa maisha yamekuwa mazuri, moto wa kumuunguza Magufoool uongezwe.
 
Kwani wewe taarifa za habari za ulimwengu huwa husikilizi??,bei za huduma na bidhaa Katika Nchi zote Diniani zimepanda.
Nchi pekee ambayo bidhaa na huduma hazijapanda ni Urusi,ukitaka sababu za kichumi sema tukuelezee.
Kabla vita havijaanza gharama ya maisha ilikuwa juu, nchi ilianza kumshinda mapema. Kabla ya march mwaka huu malalamiko yalikuwepo, vita imekuja kuongezea.
 
Ninaweza kumchukia samia sana! lakini nikimlinganisha na mwenda jahanam sipati picha ya kulinganisha malaika na ibilisi
 
Mimi binafsi linanishangaza swala la Kamali

January 23,2019
Mwamba alikutana na viongozi wa dini
Moja ya maombi ya viongozi wa dini kwa mwamba ni kupunguza/kuondoa kukithiri kwa kamali.

Mwamba aliyafanyia kazi maombi yao na kweli tuliona biko na kamali zote za kipuuzi za TV na vipindi vya Radio vilienda zake.


Cha ajabu uyu mama ni muislam na sizani kama dini yake ina afikiana na kamali!!

Cha ajabu pesa imekuwa ngumu na haina thamani na nguvu kazi kubwa ya vijana wa Tanzania wanacheza sana kamali za kila aina. (Hawataki kazi)

Adi walimu mashuleni wanacheza kamali

Fungua Radio yoyote tanzania leo hii usiposikia swala la kamali iyo itakuwa Radio imani (islamic foundation)

Ni ipi dira ya watanzania?
Mama una dhima kubwa kwa mola wako kwa kubeza maombi ya viongozi wa dini na maamuzi ya muenda zake.

Kamali zinatuchosha na media zinahamasisha kila siku.
 
Ndugu zanguni Wana JF, mtakumbuka kuwa, huko nyuma kulikuwa na mkakati wa maksudi kujaribu kuharibu Legacy ya JPM. Kwa bahati mbaya sana(Mungu akiwa upande wa JPM) kila Kiongozi wa ngazi ya juu alipojaribu kukashfu kazi za JPM, matokeo yake yalikuwa kama hivi:-
(1)Mvua ya MATUSI mitandaoni watu wakimtetea JPM.
(2)Mtikisiko katika Nchi ulitokea.
*Kupanda kwa bei za bidhaa kwa zaidi ya 80% hadi 150%.
*Kujitokeza kwa vitendo vya kihalifu(Panyaroads, Unyang'anyi, Wizi, Uvamizi, Ajali kila uchao)
Sasa wametulia. Kwa hivi karibuni sijasikia tena wakimnanga JPM.

Kwa kifupi"WAMESHIKISHWA ADABU) kwa uwezo wa Mungu.
RIP, JPM BABA YETU MPENDWA.
 
Siku hizi wamerudi kutukana wananchi baada ya kuona kwa JPM wamagota.

Eti utasikia. Tukatapike haaa. Eti tikazikwe nae.
 
Wanaomkejeli Magufuli wanafaa kupimwa akili upya kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…