Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Moja ya simulizi ninayoipenda ktk biblia takatifu na vitabu vya kiada za neno la Mungu ni simulizi ya uasi wa shetani dhidi ya Mungu. Ikumbukwe kuwa jina halisi ya shetwani au Ibilisi ni Lusifa. Lusifa alikuwa ni malaika mkuu kule mbinguni alikuwa ni moja wa kiumbe muhimu na wa karibu sana na Mungu km ingekuwa ktk muundo wa serikali yetu hapa nchini huyu Lusifa angeweza kuitwa Waziri Mkuu, Lusifa alikuwa ni mchapakazi hodari alipendwa na Mungu na hata malaika wenzake moja sifa pia ya huyu Lusifa alikuwa muimbaji mwenye sauti ya kuvutia, Lusifa aliweza kutoa sauti mwaroro saba tofauti akawa kiumbe muhimu ktk uongozi mbinguni lakini cha ajabu baada ya Lusifa kupata sifa zote hizo akaja kujawa na kiburi na dharau. Kumbukeni sisi wakristo tunaamini ktk utatu mtakatifu Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho mtakatifu kitu pekee kilichomfanya Lusifa kuasi ni uroho wa Madaraka akitaka afanane na Mungu na kuanza mashindano na Mungu na kujiona yeye ni bora kuliko kiumbe chochote mbinguni na Duniani jambo lilifanya Lusifa kuasi na kushawisha nusu ya theluti mbili ya Malaika kumuunga Mkono wakadhani wangeweza kuangusha ufalme wa Mungu kisa hiki wengi mwakifahamu, kwanini nimekitumia kisa hiki? Hapa Tanzania kuanzia Mwaka 1995 tulitengeneza kiongozi mwenye ulka ya Lusifa ndani ya Chama Cha Mapinduzi huyu kiongozi kiukweli alijitahidi kujipambanua kuwa ni mchapakazi, jasiri, mpenda watu na hasa wanaccm, Kiongozi huyu alipata ushawishi mkubwa toka kwa wafuasi, wapenzi, washabiki na wanachama wa ccm akaaminika na kupewa vyeo mbalimbali ndani ya chama na serikali hadi kufikia ngazi ya Waziri Mkuu. Kiongozi Hutu akajipa kiburi kuwa bila yeye hakuna ccm akawashawishi mashabiki wake kuanzisha vita na Mkiti wa ccm Taifa na Rais wa JMT Dr Jakaya Kikwete. Mambo yalipomshinda kiongozi Huyo alliwashiwishi watu muhimu ndani ya chama na kuhasi chama wakaondoka mpk waasisi wa Tanu na ccm akiamini kuwa kuondoka kwako ingesambatisha ccm. Lusifa Huyu wa Tanzania akatupwa nje ya ccm na malaika zake lakini ccm bado imara. Tutakukumbuka daima Dr Jakaya Kikwete kwa uzaledo wako kwa wana Tanzania kuokoa Tanzania toka mkononi mwa iblisi wa bongo na malaika zake. Ukitaka kuepukana na inzi hakikisha unaondoa uvundo ndani ya Imaya yako. Lusifa wa Bongo sasa amebaki anawaywaya kila kona akiwarubuni watanzania kuwa alionewa ndani ya ccm. Enyi wana wa Tanzania tujiunge psmoja kumpiga vita Lusifa asije akawarubuni na kuwapeleka moto wa Jehanam. Mungu Ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais Wetu Dr John Pombe Magufuli
 
Unamuombea alionifanya nisione hela na vitu kupanda bei kimya kimya bila watu kujua.

Hata kujaza upepo kwenye tairi 200 na 2015 ilikuwa ni 100
Sukari mjini tu 3600 na 2015 ilkuwa sh 2000 tu.
Machache tu hayo ni tuela tudogo lakini kwa mtanzania anaepata 10000 kwa siku analia tu.

Mimi binafsi simuombei kama atabarikiwa abarikiwe kimpango wake.
 
Bila shaka wewe ni katika wale aliowataja Mstaafu mmoja pale Jangwani...
 
Jeshi, Polisi, Usalama wa Taifa, Uhamiaji, Mawaziri na Manaibu tena ni Dr na Prof, Wazee wastaafu ndani ya chama, ukiwa makini naamini hakuna figisufigisu na uchafu utakoiandama serikali. na bado Tumuombee?
 
Rais Magufuli ametumia Sekunde moja kuubomoa na kuuvunja vunja UKUTA na sasa kavunja rekodi ya hotuba zake mstari kwa mstari kujadiliwa katika mitandao ya kijamii na katika makundi ya watu waliokusanyika.

UKUTA umebomolewa na kazi zinaendelea HONGERA JPM hakuna kama wewe na ole wake atakae kujaribu tena
 
Duu kweli Lumumba wameajiri vituko unatujazia Server mkuu sio lazima ipost mkuu unatia kinyaa
 
hotuba ya mkuu ikiwa na ahadi au maagizo katika sekta husika ni amri halali, kwa hizi za mkuu naona zitajadiliwa usiku na mchana na watendaji wake kufikia sehemu wanasahau walilojadiliana jana achilia mbali utekelezaji wake.

ukiweza kufika mtazamo wa kifikra ya ku-imagine cube ndani ya cube utaelewa ninachokuambia, ni chaos kwa watendaji.

acha kuwa shabiki maandazi kwa mambo kama haya, nafasi za uteuzi zimeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…