He still have a very very long way to go. Let's just pray for him.
That is the best thing we can do
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He still have a very very long way to go. Let's just pray for him.
Mr chin upo?
Rais akiingia kiwiziwizi naye atakuwa mw.....
Mgema akisifiwa Tembo hulitia maji. Tumezidi mno kumsifia Magufuli na kwa Style hii sijui kama atafanya vizuri. Tunamsifia mpaka atakosa changamoto na mwisho ataboronga."Give credit where it is due"!! Kupiga kelele nyingi kwa chura hata wawe millioni hakujawahi kumkataza Ng'ombe kunywa maji kisimani! Kwa kuwa JPM anayetekeleza anagalau haya kidogo uliyokuwa ukiyapigia kelele ni M-CCM vilevile! kwa mtu mwenye busara na akili timamu kabisa kabisa; Hana budi kutambua kidogo alichokifanya JPM so far; Kumbuka kwamba uadilifu sio jina la mtu Bali ni sifa ya vitendo vyake! Tunachokishangaa ni JPM kuwa mwana-CCM kwa itikadi lakini amekuwa Mwana-UKAWA kwa vitendo na uwajibikaji!! BRAVO JPM
Wabongo Tunarogeka Kirahisi kweli. Magufuli kafanya nini cha upekee ambacho hakuna kiongozi mwingine Alifanya. Sasa zimeongezeka tu promo through mitandao Ya kijamii lkn hakuna kipya Magufuli anarukaruka tu nashangaa watu wameshasahau shida zote. kisa Muhimbili vimeongezwa vitanda utafikiri nchi nzima vimeongezeka. Nilikuwa karibu nanasa kwenye mtego wa Magufuli lkn nimestuka Magufuli ni CCM na atafanya vile CCM wanataka.Mkuu@Nyani Ngabu kelele ni kweli zilikuwepo lakini je zilifanyiwa kazi? kiuhalisia wengi hawakutegemea JPM kuyafanya haya akiwa katika nyumba ileile.. lakini Leo hii anadhihirishia ulimwengu kwamba inawezekana..Nadhani tumpe muda na kumsapoti...kuendelea kuponda na kutounga mkono jitihada zake ni kujitafutia stress kwa miaka mingine kumi ijayo!
Mkuu, Kupiga kelele na kutenda ni vitu viwili tofauti.
Tuna mifano mingi hai ya wanasiasa wanaopiga kelele lakini hawawezi kuziishi kelele zao.
Hata Mbowe na genge lake walipiga kelele kwa zaidi ya miaka nane huku mapovu yakiwatoka kwenye mikutano wakituamisha ni wapambanaji wa kupinga ufisadi na matumizi mabaya ya kodi za wananchi lakini siku ambayo kiongozi wa ufisadi Lowassa na genge lake (kama walivyotueleza) walipobisha hodi kwenye milango ya ofisi zao, wakaanza kukana hata zile kelele walizokuwa wanazipiga. Hoja za kupambana na ufisadi wakaziweka kwenye makabati.
Hata lile gari la KUB alilokuwa anatuambia bora lipigwe mnada ili pesa zitumike kununua madawa aliamua kwenda kulichukua kinyemela.
Ni wanasiasa wachache sana nchini kama siyo ulimwenguni kote ambao wanaweza kufanya kile anachokifanya Rais Magufuli.
Ni lazima ujiulize, kwa nini kile anachokifanya Rais Magufuli kinaonekana cha ajabu katika sehemu mbali mbali duniani mpaka hata raia wa nchi za Magharibi wanataka awe 'benchmark' kwa viongozi wao wakuu wa nchi.

Mbona mimi sioni la ajabu ambalo Magufuli kafanya mpaka hivi sasa..?
Habari za matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi na kutokuwa na vipaumbele vya maana ni jambo ambalo wengine tumelipigia kelele sana humu tokea JF ianzishwe miaka karibu 10 iliyopita.
Tumepiga sana kelele humu kuhusu watoto kukaa chini, kuhusu wagonjwa kulala chini, kuhusu aibu ya uwanja wetu wa ndege na kuhusu mengineyo mengi tu.
Tukahoji matumizi ya mabilioni ya shilingi yaliyotumika kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru huku madaraja yakiporomoka kwa kuzidiwa na mvua.
Halafu kuna wengine humu wakawa wanatetea huo ubadhirifu wa CCM kwa nguvu zao zote. Halafu leo hii wanajifanya ndo wapiga vuvuzela wa Magufuli.
Inastaajabisha kweli.
Mtu yeyote mwadilifu na mwenye common sense hatashangazwa na anachofanya Magufuli. Lakini, lazima angeshangazwa na jinsi serikali za CCM zilivyokuwa za kipumbavu maana hizo ndizo zimetufikisha hapa tulipo.
Anachofanya ni cha kawaida sana, raisi yoyote anatakiwa kufanya hivyo, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, kuimarisha uchumi, kuboresha huduma za jamii na kuweka uongozi bora.Mbona mimi sioni la ajabu ambalo Magufuli kafanya mpaka hivi sasa..?
Habari za matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi na kutokuwa na vipaumbele vya maana ni jambo ambalo wengine tumelipigia kelele sana humu tokea JF ianzishwe miaka karibu 10 iliyopita.
Tumepiga sana kelele humu kuhusu watoto kukaa chini, kuhusu wagonjwa kulala chini, kuhusu aibu ya uwanja wetu wa ndege na kuhusu mengineyo mengi tu.
Tukahoji matumizi ya mabilioni ya shilingi yaliyotumika kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru huku madaraja yakiporomoka kwa kuzidiwa na mvua.
Halafu kuna wengine humu wakawa wanatetea huo ubadhirifu wa CCM kwa nguvu zao zote. Halafu leo hii wanajifanya ndo wapiga vuvuzela wa Magufuli.
Inastaajabisha kweli.
Mtu yeyote mwadilifu na mwenye common sense hatashangazwa na anachofanya Magufuli. Lakini, lazima angeshangazwa na jinsi serikali za CCM zilivyokuwa za kipumbavu maana hizo ndizo zimetufikisha hapa tulipo.
Anachofanya ni cha kawaida sana, raisi yoyote anatakiwa kufanya hivyo, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, kuimarisha uchumi, kuboresha huduma za jamii na kuweka uongozi bora.
The big question is; je, umewahi kuona maraisi wa kiafrika wakifanya hivyo? Wanatumia zaidi ya wanachopata, wakiwa madarakani wanajisahau na kujiona miungu watu...
Hem ona hayo madudu yanayoibuka kila siku, as if the country was in autopilot for 10yrs.