Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

kinachofuraisha ni jinsi anavyowatumbua wana ccm kuanzia wakurungenzi tunaomba apewe uenyekiti ili aanze kuwatumbua viongozi wa ccm walarushwa
 
HATA USIPOMUUNGA MKONO BADO ATABAKI KUWA MAGUFULI RAIS WA TZ NA BOSSI WAKO TU
Ni boss kwangu ila bado anahitaji maombezi yangu.

Kumbuka boss ndie hutumikia waliochini yake xo usidhani kuwa bosi ni sifa, la bosi ni mtumwa.
 
Yaani pamoja na kuingia na jina lako kamili lkn bado hakuna ulicho kiandika na kusomeka
 
Ukiangalia hiyo picha kwa makini utagundua jambo moja kuhusu Raisi Magufuli, kwamba ni mtu mjanja sana na inaelekea anafahamu jinsi ya kuishi hii Dunia, jambo ambalo binadamu wengi hatufahamu!

523.jpg
 
Ukiangalia hiyo picha kwa makini utagundua jambo moja kuhusu Raisi Magufuli, kwamba ni mtu mjanja sana na inaelekea anafahamu jinsi ya kuishi hii Dunia, jambo ambalo binadamu wengi hatufahamu!

523.jpg
Hakika, ha ha ha!
 
ujanja kuvaa miwani au kukaa kwa mashakamashaka kuna majitu humu kazi yao kusifia kila kitu hata akikohoa utasikia mkuu anakohoa vizuri
Watasifia hata ushuzi ukitoka. Utasikia Muheshimiwa bwana anajuwa sana kutoa ushuzi
 
Picha haiongei chochote kuhusu kilichoelezwa hapo juu. Lakini tunamtakia kila la heri....I hope ataendelea kuheshimu marufuku yake ya vyama vya siasa kufanya shughuli zake mpaka 2020. Aendelee kufanya shughuli zake tu kama Rais wa nchi, na si harakati za kisiasa kupitia chama chake. This is what he said. Tunataka tumpime kama maneno yake yanakwenda na vitendo.
 
ujanja kuvaa miwani au kukaa kwa mashakamashaka kuna majitu humu kazi yao kusifia kila kitu hata akikohoa utasikia mkuu anakohoa vizuri

Vipi kumhusu Lowassa, Mbowe na Lissu????!!!!!! Huwa nasikia humu baadhi wanasema Lissu ndiye mwanasheria msomi kuliko wote Tanzania....tehtehtehteh
 
Ukiangalia hiyo picha kwa makini utagundua jambo moja kuhusu Raisi Magufuli, kwamba ni mtu mjanja sana na inaelekea anafahamu jinsi ya kuishi hii Dunia, jambo ambalo binadamu wengi hatufahamu!

523.jpg
mbongo mpe picha habari anayo!
 
Back
Top Bottom