Habarini watanzania wote!!!!!!!
Kutokana na unabii ambao niliwaii kuuweka hapa kuhusu ujio wa Yesu Kristo kama Mfalme ktk Taifa la Tanzania,,,,,,,,dalili zaanza kuonekana.
Kiufupi ni kwamba Mungu ametukumba watanzania,,,,,,na ameamua kushuka kama Mfalme kwa ajili ya mambo mawili makubwa.
1>> Mungu amekusudia kuliinua Taifa hili kiuchumi kwa viwango vikubwa ambavyo itapelekea mataifa mengi kuja kuomba msaada hapa.
2>> Neema ya Mungu itakua kubwa sana na Watu wote watakaoamua kumtafuta Mungu wa kweli ataonekana kwao kwa viwango vya juu sana.
Na hao watakaokuja kuomba msaada wa kiuchumi watakutana na Mungu hapa ambapo wataponywa pia magonjwa yao.
Hivyo basi kutokana na Ujio wa Kifalme wa Mungu hapa Tanzania,,,,,,dalili za kifalme zimeanza kuonekana kupitia Utawala wa Rais wa awamu ya Tano Mh JP Magufuli. Ambapo ktk utawala wa kifalme,,,,,neno la Mfalme ndo SHERIA akisema jambo ndilo linalopaswa kufanyika,,,
Kwasbb iyo nguvu zinazomsukuma Rais ni dhahiri kabsa ni Nguvu za Mungu ktk kuleta mabadiliko.
Mungu uzidi kumtia nguvu Rais aweze kufanya sawasawa na kusudi lako Tanzania.
NAWASILISHA