Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wenye akili tulijua ngoma ya watoto huwa mwisho saa 12 jioni, leo hatuoni tena safari za kushitukiza kama zamani, hatusikii tena 'nitumbue nisitumbueeee', kilichobaki ni kuzindua madaraja, huku wasaidizi wake wakiishia kuhudhuria matamasha ya wakata viuno. Hatusikii viwanda vikifunguliwa tena, zile mbwembwe za kwenda bandarini kuokota vichwa vya treni zimepungua kama sio kwisha kabisa.

Watu wanapiga dili kama kawaida, serikali inapinga dili 1.5, safari za nje wanakwenda kama kawa, TRA walianza kutangaza mapato kila mwezi baada ya kuona yanashuka wakaacha eti ni siri, Flow meter ya bandarini inaendelea kuhujumiwa kama kawaida, kiki ya dreamliner imefubaa siku hizi hatuonyeshwi kina polepole wakipanda kama mwanzo, uhakiki wa wafanyakazi hewa hauishi kila mwaka wanarudia.

Pamoja na mbwembwe zote hizo sioni tofauti kubwa kati yake na mtangulizi wake.

Ndio maana kuna watu wanahoji Kikwete aliwezaje kuwapa mkopo wanafunzi wote wakiwepo wanafunzi hewa, aliweza vipi kuongeza mishahara na kupandisha madaraja wafanyakazi kila mwaka bila kuhakiki wafanyakazi hewa.

Kuongoza nchi siyo kazi ndogo hasa ukiwa huziamini taasisi na watendaji uliowakuta. Mbwembwe hazisaidii.

Leo siandiki mengi nawahi appointment ya kuunga juhudi kabla deadline haijafika.
 
Hahahaaaa la kuvunda halina ubani, Magufuli limemvundia, pumzi imekwisha.
 
Hata kiki ya kuunga mkono juhudu, ime expire, inaongeza machungu. Nasubiri clip za wagonjwa wanaopata tiba duni karibu wafe,elimu duni nk wakidai matumizi bora kodi zao. Kuliko kugharamia chaguzi feki.
 
Mpaka Katibu mkuu kagundua kuwa kaingia cha kike. Juzi katoa kauli kali sana juu ya Legitimacy ya CCM kuwa madarakani kuwa inatia mashaka kama uchaguzi wenyewe ni aina hi. Basi washambenga na vuvuzela wa Jiwe wacha wahamaki mbona huyu Bashiru anataka kumuudhi muzee?
Wakaanza kumshambulia ili muzee awaone, Bashiru akaona wasimzingue bwana, kama mbwai na iwe mbwai katoa kauli yeye haogopi mtu kwnye kusema ukweli. Walio karibu na jiwe wanasema leo kafura hata chai hajanywa pamoja na kuwa anapenda sana maandazi na kalimati maana waliona siku ile ya Traffic.
Kwa kweli kiki zimefika mwisho, hata ndani ya ccm wameshtuka kabisa wamebaki wahamiaji kwa vile wanachukua mshiko wa kuunga mkono juhudi kwenda kulipa madeni yao
 
Hahahah nacheka kizungu, eti kuna watu wanasubiri jiwe /kichaa awaletee maendeleo
 
Ujamaa na umasikini, ubepari na maendeleo. Ujamaa na udikteta, demokrasia na maendeleo.
 
Wenye akili tulijua ngoma ya watoto huwa mwisho saa 12 jioni, leo hatuoni tena safari za kushitukiza kama zamani, hatusikii tena 'nitumbue nisitumbueeee', kilichobaki ni kuzindua madaraja, huku wasaidizi wake wakiishia kuhudhuria matamasha ya wakata viuno. Hatusikii viwanda vikifunguliwa tena, zile mbwembwe za kwenda bandarini kuokota vichwa vya treni zimepungua kama sio kwisha kabisa.

Watu wanapiga dili kama kawaida, serikali inapinga dili 1.5, safari za nje wanakwenda kama kawa, TRA walianza kutangaza mapato kila mwezi baada ya kuona yanashuka wakaacha eti ni siri, Flow meter ya bandarini inaendelea kuhujumiwa kama kawaida, kiki ya dreamliner imefubaa siku hizi hatuonyeshwi kina polepole wakipanda kama mwanzo, uhakiki wa wafanyakazi hewa hauishi kila mwaka wanarudia.

Pamoja na mbwembwe zote hizo sioni tofauti kubwa kati yake na mtangulizi wake.

Ndio maana kuna watu wanahoji Kikwete aliwezaje kuwapa mkopo wanafunzi wote wakiwepo wanafunzi hewa, aliweza vipi kuongeza mishahara na kupandisha madaraja wafanyakazi kila mwaka bila kuhakiki wafanyakazi hewa.

Kuongoza nchi siyo kazi ndogo hasa ukiwa huziamini taasisi na watendaji uliowakuta. Mbwembwe hazisaidii.

Leo siandiki mengi nawahi appointment ya kuunga juhudi kabla deadline haijafika.
TRA wametangaza mapato yao ya miez mitatu makusanyo trillion 3.65 wamevuka lengo sema jingine
 
Mpaka Katibu mkuu kagundua kuwa kaingia cha kike. Juzi katoa kauli kali sana juu ya Legitimacy ya CCM kuwa madarakani kuwa inatia mashaka kama uchaguzi wenyewe ni aina hi. Basi washambenga na vuvuzela wa Jiwe wacha wahamaki mbona huyu Bashiru anataka kumuudhi muzee?
Wakaanza kumshambulia ili muzee awaone, Bashiru akaona wasimzingue bwana, kama mbwai na iwe mbwai katoa kauli yeye haogopi mtu kwnye kusema ukweli. Walio karibu na jiwe wanasema leo kafura hata chai hajanywa pamoja na kuwa anapenda sana maandazi na kalimati maana waliona siku ile ya Traffic.
Kwa kweli kiki zimefika mwisho, hata ndani ya ccm wameshtuka kabisa wamebaki wahamiaji kwa vile wanachukua mshiko wa kuunga mkono juhudi kwenda kulipa madeni yao
Wakatwa mkia wamefata maslai akijastuka kapigwa,si kwamba wanaunga mkono waliomzunguka wengi ni wafia tumbo,wajuao kucheza na mdundo wa ngoma,
 
Mpaka Katibu mkuu kagundua kuwa kaingia cha kike. Juzi katoa kauli kali sana juu ya Legitimacy ya CCM kuwa madarakani kuwa inatia mashaka kama uchaguzi wenyewe ni aina hi. Basi washambenga na vuvuzela wa Jiwe wacha wahamaki mbona huyu Bashiru anataka kumuudhi muzee?
Wakaanza kumshambulia ili muzee awaone, Bashiru akaona wasimzingue bwana, kama mbwai na iwe mbwai katoa kauli yeye haogopi mtu kwnye kusema ukweli. Walio karibu na jiwe wanasema leo kafura hata chai hajanywa pamoja na kuwa anapenda sana maandazi na kalimati maana waliona siku ile ya Traffic.
Kwa kweli kiki zimefika mwisho, hata ndani ya ccm wameshtuka kabisa wamebaki wahamiaji kwa vile wanachukua mshiko wa kuunga mkono juhudi kwenda kulipa madeni yao
Kwenye maandazi na kalimati umenichekesha kweli ......... ila wasukuma tunapenda zaidi Vitumbua. Wenyewe tunaita Kashitumbula!!
 
Ukweli
Mpaka Katibu mkuu kagundua kuwa kaingia cha kike. Juzi katoa kauli kali sana juu ya Legitimacy ya CCM kuwa madarakani kuwa inatia mashaka kama uchaguzi wenyewe ni aina hi. Basi washambenga na vuvuzela wa Jiwe wacha wahamaki mbona huyu Bashiru anataka kumuudhi muzee?
Wakaanza kumshambulia ili muzee awaone, Bashiru akaona wasimzingue bwana, kama mbwai na iwe mbwai katoa kauli yeye haogopi mtu kwnye kusema ukweli. Walio karibu na jiwe wanasema leo kafura hata chai hajanywa pamoja na kuwa anapenda sana maandazi na kalimati maana waliona siku ile ya Traffic.
Kwa kweli kiki zimefika mwisho, hata ndani ya ccm wameshtuka kabisa wamebaki wahamiaji kwa vile wanachukua mshiko wa kuunga mkono juhudi kwenda kulipa madeni yao
Ukweli unauma kwa kweli Bashiru kawasemea wanaccm wengi sana.

b
Bashiru kafanya kujilipua tuz liwalo na liwe, ameonesha jinsi ccm inavyoshinda kwa wiI na rushwa, kußaidiwa na wale criminals wanaojiita mapolisi na Nec
 
Wasalaam, rejea kichwa cha habari hapo juu, kwanini tumuunge mkono?

Jibu lipo wazi ni kwa sababu ana nia njema na taifa Tanzania na sisi wanyonge, watanzania tumerogwa na nani? Mnataka rais gani? Basi tusubiri uchaguzi 2020.
 
Ndugu zangu vijana na wanyonge tulio wengi Napenda kuwahusia siri hii nzito imelizunguka taifa japo mnaweza msinielewe ila naomba mnielewe.

Wanawake kwa wanaume tusimame kwa gharama yeyote kumtetea huyu Rais ili baada yamiaka yake 10 amalize maono yake kwa taifa hili na mwisho tumpe heshima ilio tukuka kwa mapenz yake kwa taifa hili. Leo ni jumapil ya tarehe 14 Oct2018 nataka kuwahakikishia tukikosea tumepotea maana Uwenda ikachukua muda mpata Rais wa aina hii kiasi wenye hekima wanatafuta jinsi yakuhakikisha vision yake anaimalizia.
Ndugu zangu wapo watu wanataka ile nafasi kwa matumbo yao ila huyu Rais hapana.
Shikamoo Baba yangu Magufuli najivunia Tanzania kuwa na baba kama huyu. Asante na Mungu akutunze uwone adui zako wakiangamia kwa dhambi yakulihujumu taifa.
Mungu ibariki Tz Mungu mbariki Rais wetu na familia yake. Amen
 
Back
Top Bottom