Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ndo hivo kila mtu Ana mawazo yake +misimamo yake
Shikilieni hapo hapo kwenye hiyo misimamo boss.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivo kila mtu Ana mawazo yake +misimamo yake
Mkulima wa zao gani Hugo unamzungumzia?Wewe ndo hujui ila mkulima wa kweli analima na anapata mali.ambayo wewe unaweza usimfikie
AlizetiMkulima wa zao gani Hugo unamzungumzia?
Vipi kuhusu Wa mahindi,kahawa,korosho,mbaazi na mazao mengine?Alizeti
Na yenyewe yanahitajika sokoni.tunatakiwa tudhibiti vinavyoi gia kutoka nchi za nje.tujilishe wenyeweVipi kuhusu Wa mahindi,kahawa,korosho,mbaazi na mazao mengine?
Serikali ya Magufuli kwa Sasa imejitahidi kuziunganisha taasisi zote na zinafanya kazi kwa pamoja.mfano mzuri Ni huu wa kulitumia jeshi kwenye miradi ya dharura.wananchi tumejifunza kuwa karibu na jeshi Kama taifa wametujengea ukuta wa mererani Hadi hili wapinzani wanapinga. lakini hamtafanya kitu Zaid ya kushuhudia na hamtazuia kamwe .kwenye korosho wanajeshi wameungana na wakulima hamuoni Kama hiyo Ni bahati Sana kwa nchi za Africa.badala yake majeshi yao wameyatumia kwenye Vita kuua watu.sisi majeshi yetu hayaui watu.kwanza watu wanayaogopa.kwa hiyo kitendo Cha jeshi kufanya mambo fulani mazuri kilipaswa kupongezwa.hata Kenya kwenye situation Kama hii wangeungana bila kujali itikadi za kivyama.watanzania wanajifanya kuponda.dah Kuna wapinzani Wana roho mbaya.sema Nini mtaendelea kumpinga Magufuli lakini hamutaweza kwenda kuwakwamisha dola kufanya ilichopanga.serikali yenu nzuri nyie mnaipinga usivunje sheria ukikamatwa Sasa hivi Ni msala.ogopa sana serikali inayoongoza watu million 50 halafu Kuna utulivu.. watanzania wanatakiwa wawe na amani.mnafeli wapi ndugu zangu?
Kwanini kila anachogusa kinamwendea mrama? Kuanzia kuuza nyumba za serikali, kununua kivuko kibovu, kukurupuka kukamata samaki, kukurupuka kuvunja mikataba, kukurupuka kununua ndege zinazoendelea kuongeza hasara kwa mabilioni, sukari, korosho, na sasa dollars?Miaka mitatu hatujmuona akisafiri popote zaidi ya kubaki katika nchi yake,akiwa pamoja na watu wake.karibu miaka kadhaa iliyopita huko nyuma alisimamia mambo fulani makubwa ndani ya nchi.mwanzoni watu walishangazwa na ujasiri aliokuwa nao lakini baadae wakakasirishwa na bidii yake na dhamira yake wakajaribu kumrudhisha nyuma.sasa anajaribu Tena kuwasaidia watu wake Kama zamani safari hii akiwa mkuu.
Anaendelea kufanya mambo ya ajabu ambayo kwa kweli watu wengi wanashangaa,hata wanaulizana:"mtu huyu alipata wapi hekima hii na matendo haya yenye nguvu?wanasema:"je,huyu si mshirika mwenzao chamani?Basi alipataje kujua mambo mengi haya yote?"
Watu wanafikiri kwamba jp Ni mtu wa business as usual.wanawaza hivi,"tulimwona toka mwanzo akiwa na wale,Basi anawezaje kuwageuka?kwa hiyo licha ya uthibitisho wote-kutia ndani mafanikio yote na mabadiliko -wanamkataa.kwa kuwa tu wanamfahamu ,hata watu wake chamani wanakwazika kwa sababu yake, na hivyo Mimi ndege JOHN nasema:"nabii anaheshimiwa kila mahali isipokuwa katika eneo lake la nyumbani na hata katika nyumba yake mwenyewe".
Kwa kweli,hata yeye anashangazwa na uoga wa kusema ukweli walio nao watu wake .kwa hiyo , anaendelea kufanya miujiza kimya kimya ili wasiendelee kupiga kelele kwa sauti wakisema"waonee huruma waizi wa madini,waonee huruma wanaotapeli wakulima ,waonee huruma watakatishaji fedha".
swali:kwa Nini watu wamekuwa waoga kusema ukweli na hawajui kutofautisha kiongozi mzuri na mtawala muovu?
Miaka mitatu hatujmuona akisafiri popote zaidi ya kubaki katika nchi yake,akiwa pamoja na watu wake.karibu miaka kadhaa iliyopita huko nyuma alisimamia mambo fulani makubwa ndani ya nchi.mwanzoni watu walishangazwa na ujasiri aliokuwa nao lakini baadae wakakasirishwa na bidii yake na dhamira yake wakajaribu kumrudhisha nyuma.sasa anajaribu Tena kuwasaidia watu wake Kama zamani safari hii akiwa mkuu.
Anaendelea kufanya mambo ya ajabu ambayo kwa kweli watu wengi wanashangaa,hata wanaulizana:"mtu huyu alipata wapi hekima hii na matendo haya yenye nguvu?wanasema:"je,huyu si mshirika mwenzao chamani?Basi alipataje kujua mambo mengi haya yote?"
Watu wanafikiri kwamba jp Ni mtu wa business as usual.wanawaza hivi,"tulimwona toka mwanzo akiwa na wale,Basi anawezaje kuwageuka?kwa hiyo licha ya uthibitisho wote-kutia ndani mafanikio yote na mabadiliko -wanamkataa.kwa kuwa tu wanamfahamu ,hata watu wake chamani wanakwazika kwa sababu yake, na hivyo Mimi ndege JOHN nasema:"nabii anaheshimiwa kila mahali isipokuwa katika eneo lake la nyumbani na hata katika nyumba yake mwenyewe".
Kwa kweli,hata yeye anashangazwa na uoga wa kusema ukweli walio nao watu wake .kwa hiyo , anaendelea kufanya miujiza kimya kimya ili wasiendelee kupiga kelele kwa sauti wakisema"waonee huruma waizi wa madini,waonee huruma wanaotapeli wakulima ,waonee huruma watakatishaji fedha".
swali:kwa Nini watu wamekuwa waoga kusema ukweli na hawajui kutofautisha kiongozi mzuri na mtawala muovu?
Bila shaka watamuuliza Nabii," Ikiwa ewe ni nabii wa Mungu wakate mishahara wateule wako na watunga sheria na majemadari wako wakuu ili ukawaongezee wale wazalendo wa kweli kule chini wanaolipwa mshahara sawa na posho ya siku moja ya wateule wako."Miaka mitatu hatujmuona akisafiri popote zaidi ya kubaki katika nchi yake,akiwa pamoja na watu wake.karibu miaka kadhaa iliyopita huko nyuma alisimamia mambo fulani makubwa ndani ya nchi.mwanzoni watu walishangazwa na ujasiri aliokuwa nao lakini baadae wakakasirishwa na bidii yake na dhamira yake wakajaribu kumrudhisha nyuma.sasa anajaribu Tena kuwasaidia watu wake Kama zamani safari hii akiwa mkuu.
Anaendelea kufanya mambo ya ajabu ambayo kwa kweli watu wengi wanashangaa,hata wanaulizana:"mtu huyu alipata wapi hekima hii na matendo haya yenye nguvu?wanasema:"je,huyu si mshirika mwenzao chamani?Basi alipataje kujua mambo mengi haya yote?"
Watu wanafikiri kwamba jp Ni mtu wa business as usual.wanawaza hivi,"tulimwona toka mwanzo akiwa na wale,Basi anawezaje kuwageuka?kwa hiyo licha ya uthibitisho wote-kutia ndani mafanikio yote na mabadiliko -wanamkataa.kwa kuwa tu wanamfahamu ,hata watu wake chamani wanakwazika kwa sababu yake, na hivyo Mimi ndege JOHN nasema:"nabii anaheshimiwa kila mahali isipokuwa katika eneo lake la nyumbani na hata katika nyumba yake mwenyewe".
Kwa kweli,hata yeye anashangazwa na uoga wa kusema ukweli walio nao watu wake .kwa hiyo , anaendelea kufanya miujiza kimya kimya ili wasiendelee kupiga kelele kwa sauti wakisema"waonee huruma waizi wa madini,waonee huruma wanaotapeli wakulima ,waonee huruma watakatishaji fedha".
swali:kwa Nini watu wamekuwa waoga kusema ukweli na hawajui kutofautisha kiongozi mzuri na mtawala muovu?
sio madili yetu kumsema sema baba😀😀😀😀😀😀Miaka mitatu hatujmuona akisafiri popote zaidi ya kubaki katika nchi yake,akiwa pamoja na watu wake.karibu miaka kadhaa iliyopita huko nyuma alisimamia mambo fulani makubwa ndani ya nchi.mwanzoni watu walishangazwa na ujasiri aliokuwa nao lakini baadae wakakasirishwa na bidii yake na dhamira yake wakajaribu kumrudhisha nyuma.sasa anajaribu Tena kuwasaidia watu wake Kama zamani safari hii akiwa mkuu.
Anaendelea kufanya mambo ya ajabu ambayo kwa kweli watu wengi wanashangaa,hata wanaulizana:"mtu huyu alipata wapi hekima hii na matendo haya yenye nguvu?wanasema:"je,huyu si mshirika mwenzao chamani?Basi alipataje kujua mambo mengi haya yote?"
Watu wanafikiri kwamba jp Ni mtu wa business as usual.wanawaza hivi,"tulimwona toka mwanzo akiwa na wale,Basi anawezaje kuwageuka?kwa hiyo licha ya uthibitisho wote-kutia ndani mafanikio yote na mabadiliko -wanamkataa.kwa kuwa tu wanamfahamu ,hata watu wake chamani wanakwazika kwa sababu yake, na hivyo Mimi ndege JOHN nasema:"nabii anaheshimiwa kila mahali isipokuwa katika eneo lake la nyumbani na hata katika nyumba yake mwenyewe".
Kwa kweli,hata yeye anashangazwa na uoga wa kusema ukweli walio nao watu wake .kwa hiyo , anaendelea kufanya miujiza kimya kimya ili wasiendelee kupiga kelele kwa sauti wakisema"waonee huruma waizi wa madini,waonee huruma wanaotapeli wakulima ,waonee huruma watakatishaji fedha".
swali:kwa Nini watu wamekuwa waoga kusema ukweli na hawajui kutofautisha kiongozi mzuri na mtawala muovu?
"this man anapractice scientific politics wala Hana propaganda hata kidogooo...Kwangu mimi,J.P.M ni Rais wangu wa nguvu.Sawa ana baadhi ya makosa kama mliyonayo baadhi yenu,ila n lipi,umemshauri ewe mtanzania (unaemponda) au umetamka tatizo lako akashindwa kulitatua
watanzania #TUNAYUMBA,this man anapractice scientific politics wala Hana propaganda hata kidogooo...
#ipo siku MTAMMISS... nawambien.... maana kakusanya vya kutosha,na huyo atakae fata a”ki”wa mlaji,mtakubali....
Kwenye keyboard yako unatumia lugha gani?Kwangu mimi,J.P.M ni Rais wangu wa nguvu.Sawa ana baadhi ya makosa kama mliyonayo baadhi yenu,ila n lipi,umemshauri ewe mtanzania (unaemponda) au umetamka tatizo lako akashindwa kulitatua