Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Huyu mzee nimemfuatilia tangu ameingia madarakani ni zaidi ya balaa...Miradi inayotekelezwa na Serikali yake haijawahi tokea nchini.

Hv unakumbuka wakati anaingia madarakani ? Alipoanza kutumbua kwa kwenda mbele. Akarudisha nidhamu katika Ofisi za umma. Ubadhirifu wa mali za umma kwa kiasi kikubwa ukakoma. Fedha za Magufuli zikaanza kuonekana za moto(nomaaaa)

Phase 2 ikafuata kwa utekelezaji wa miradi ya viwango na kwa ya Speed ya Mwanga. Yaani ni mwendo wa bandika bandua. Akipiga Fly over Tazara kule Ubungo Flyover inaendelea. Akipiga miradi ya Afya kule anapiga miradi mikubwa ya elimu. akinunua ndege kubwa na za kisasa kule anaibana mifisadi hadi inatamani ikimbie nchi (Nyoosha mzee mwenyewe)

Katika historia ya nchi hii haijawahi tokea kupata Rais mtekelezaji wa namna hii. Nasema haijawahi tokea asilani katika historia ya Tanzania. Wapingaji hawatakosekana. Wataongezeka tu...Ni mwendo wa kuongeza speed...wasiturudishe nyumaa..Kaza mwendoo Mzeeeeeeee

Anatekeleza wajibu wake kama rais. Huna haja ya kumsifia wala kushangaa. Ni sawa na kumsifiwa mwizi ilhali unajua mwizi kazi yake kuu ni kuiba au ulitaka ake tu anaimba ccm mbele kwa mbele?
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Ilani ya CCM inazidi kutekelezeka. Awamu hii tumekamilisha hii maktaba ya kisasa kabisa katika chuo kikuu chetu kongwe, Chuo kikuu Dar es Salaam UDSM, kwa ushirikiano na jamhuri ya watu wa China. Ni kwa jitihada za juu zilizofanywa na zinazofanywa na raisi wetu ndugu Dkt. John Joseph Pombe Magufuli na serikali ya awamu ya tano inayotekeleza vyema ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2015-2020 hakika tumeweza na tunazidi kwenda mbele.

Nimpongeze mzee wangu waziri mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa kwa kuhuzuria hafla hii muhimu hakika unaujua na kuupigania umuhimu wa elimu nchini. Mzee wangu Lowasa wafundishe huko upinzani nini maana ya siasa za vyama vingi waambie hawajijengi kwa kususia mambo muhimu ya taifa hili waambie hawataweza ipata nafasi yoyote miouoni mwa watanzania kwa mtindo huu wa siasa zao waambie tunawakaribisha katika kuunga mkono juhudi lakini pia wakikuuliza kwanini umehudhuria waambie "una imani na serikali ya CCM, chini ya raisi Magufuli"

Asante Dkt John Joseph Pombe Magufuli, asante serikali ya awamu ya tano, asante Chama Cha Mapinduzi.

Wasalimu Lumumba
Ni mimi Mtoto wa Baba
 
"Punguani sio lazima aokote makopo"

NB:Huu msemo hauhusiani na mada hii wala haumhusu mleta mada
 
Kwa hivyo watu wanamkosoa kuwapiga risasi umeona ni jambo sawa ? Ukimaliz mwambie tutamkosoa mpaka atakapo ingia kaburini sisi sio mzoga!!!
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka mitatu hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka mitatu hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
2019 wataongezewa ili uchaguzi wa mitaa waungwe mkono, watumishibwauma wanajijua wenyewe wakionjeshwa kidogo wanasahubtaabu zote
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Ilani ya CCM inazidi kutekelezeka. Awamu hii tumekamilisha hii maktaba ya kisasa kabisa katika chuo kikuu chetu kongwe, Chuo kikuu Dar es Salaam UDSM, kwa ushirikiano na jamhuri ya watu wa China. Ni kwa jitihada za juu zilizofanywa na zinazofanywa na raisi wetu ndugu Dkt. John Joseph Pombe Magufuli na serikali ya awamu ya tano inayotekeleza vyema ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2015-2020 hakika tumeweza na tunazidi kwenda mbele.

Nimpongeze mzee wangu waziri mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa kwa kuhuzuria hafla hii muhimu hakika unaujua na kuupigania umuhimu wa elimu nchini. Mzee wangu Lowasa wafundishe huko upinzani nini maana ya siasa za vyama vingi waambie hawajijengi kwa kususia mambo muhimu ya taifa hili waambie hawataweza ipata nafasi yoyote miouoni mwa watanzania kwa mtindo huu wa siasa zao waambie tunawakaribisha katika kuunga mkono juhudi lakini pia wakikuuliza kwanini umehudhuria waambie "una imani na serikali ya CCM, chini ya raisi Magufuli"

Asante Dkt John Joseph Pombe Magufuli, asante serikali ya awamu ya tano, asante Chama Cha Mapinduzi.

Wasalimu Lumumba
Ni mimi Mtoto wa Baba
Member since November 24, 2018. Karibu JF tumikia buku 7!
 
Back
Top Bottom