GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Atakayenibishia hili GENTAMYCINE nitamdharau hadi Dunia itakapopinduka na kumuona hazijamtimia Kichwani kwakuwa ni Jambo ambalo liko wazi hata tu Kiuhalisia.
Asanteni sana Simba SC kwa kwenda Robo Fainali CAFCL mara Nne na Yanga SC kwenda Fainali ya CAFCC kwa mara ya Kwanza na Watanzania kuwa na Vibe la Soka Viwanjani kwani ni kwa kupitia haya Mafanikio yenu ndiyo yamewavutia CAF na kuweza kuwa ni Lifti kwa nchi za Uganda na Kenya katika kufanikiwa kuwa Waandaaji wa pamoja wa Michuano ya AFCON kwa mwaka 2027.