Mafanikio ya Simba CAFCL na Yanga CAFCC kutoka Tanzania ndiyo imekuwa Lifti Kuu ya Uganda na Kenya kwa AFCON ya 2027

Mafanikio ya Simba CAFCL na Yanga CAFCC kutoka Tanzania ndiyo imekuwa Lifti Kuu ya Uganda na Kenya kwa AFCON ya 2027

Hapana! Bid ya Tanzania, Kenya na Uganda kwa pamoja ilikuwa na nguvu sana kwenye CAF kwa vile ilikuwa na msukumo wa nchi tatu siyo kwa sababu ya timu yoyote. Hata FIFA wamewapa Marekani, Mexico na Canada nafasi ya kuandaa mashindano ya kombe ya dunia yajayo japo hawana timu yoyote inaytobaulika kidunia.
Hongera,umesema kweli sio ushabiki...
 
Back
Top Bottom