GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni kweli kbs ,ingawa kenya 1996 nadhani alipewa uenyeji akachemka , sie hii ingepigwa, Dar,dom,arusha ,mwanza ,znz ni umaskini wetu tuBongo hatuna viwanja vya maana tu vinginevyo haya mashindano tungeweza kuyapambania tukaandaa sisi wenyewe. Kwenye suala la soka na vibe lake kiujumla sisi ndio tupo juu huu ukanda wa Afrika mashariki
Nani kakuambia kuwa Tanzania ni Masikini? Una Maziwa makubwa matatu, una Madini, una Mlima mkubwa, una Bahari na Bandari za Mkakati Kiukanda na Ardhi Kubwa yenye Rutuba bado utasema Wewe ni Masikini?Ni kweli kbs ,ingawa kenya 1996 nadhani alipewa uenyeji akachemka , sie hii ingepigwa, Dar,dom,arusha ,mwanza ,znz ni umaskini wetu tu
Acha mikwara mbuzi we kiaziNani kakuambia kuwa Tanzania ni Masikini? Una Maziwa makubwa matatu, una Madini, una Mlima mkubwa, una Bahari na Bandari za Mkakati Kiukanda na Ardhi Kubwa yenye Rutuba bado utasema Wewe ni Masikini?
Siku nyingine ukiwa Unachangia Mada zangu GENTAMYCINE uwe unatumia Akili na ukikijua huna Akili usiwe unachangia sawa?
Kenya nadhani kati ya 1996 alipata uenyeji aHapana! Bid ya Tanzania, Kenya na Uganda kwa pamoja ilikuwa na nguvu sana kwenye CAF kwa vile ilikuwa na msukumo wa nchi tatu siyo kwa sababu ya timu yoyote. Hata FIFA wamewapa Marekani, Mexico na Canada nafasi ya kuandaa mashindano ya kombe ya dunia yajayo japo hawana timu yoyote inaytobaulika kidunia.
Hahahaha, pumbavuNani kakuambia kuwa Tanzania ni Masikini? Una Maziwa makubwa matatu, una Madini, una Mlima mkubwa, una Bahari na Bandari za Mkakati Kiukanda na Ardhi Kubwa yenye Rutuba bado utasema Wewe ni Masikini?
Siku nyingine ukiwa Unachangia Mada zangu GENTAMYCINE uwe unatumia Akili na ukikijua huna Akili usiwe unachangia sawa?
Pumbavu hilo anadhani wote wajinga km yeyeAchaa mikwara mbuzi we kiazi
Mara Trilioni yako. Huna Akili Kichwani. Eti kabisa Jitu zima linasema Tanzania ni Masikini. Ningekuwa jirani nawe ningekuzaba Bonge la Bao / Kofi.Kenya nadhani kati ya 1996 alipata uenyeji a
Hahahaha, pumbavu
Eti Tanzania ni nchi Masikini. Idiot Wewe.Pumbavu hilo anadhani wote wajinga km yeye
Ni masikini tu ,hata wewe ni masikini tuEti Tanzania ni nchi Masikini. Idiot Wewe.
Pumbavu njoo,hapa ujaribu, ukifanikiwa hata kupiga kofi nakupa hela,masikini wa akili wee, mpk leo mnahangaika na umeme wa mgaoMara Trilioni yako. Huna Akili Kichwani. Eti kabisa Jitu zima linasema Tanzania ni Masikini. Ningekuwa jirani nawe ningekuzaba Bonge la Bao / Kofi.
hii ni kweli kabisaAtakayenibishia hili GENTAMYCINE nitamdharau hadi Dunia itakapopinduka na kumuona hazijamtimia Kichwani kwakuwa ni Jambo ambalo liko wazi hata tu Kiuhalisia.
Asanteni sana Simba SC kwa kwenda Robo Fainali CAFCL mara Nne na Yanga SC kwenda Fainali ya CAFCC kwa mara ya Kwanza na Watanzania kuwa na Vibe la Soka Viwanjani kwani ni kwa kupitia haya Mafanikio yenu ndiyo yamewavutia CAF na kuweza kuwa ni Lifti kwa nchi za Uganda na Kenya katika kufanikiwa kuwa Waandaaji wa pamoja wa Michuano ya AFCON kwa mwaka 2027.
Kama Wewe ulivyo Tajiri wa Kuwekwa.Ni masikini tu ,hata wewe ni masikini tu
Sawa Tajiri wa Kuwekwa.Pumbavu njoo,hapa ujaribu, ukifanikiwa hata kupiga kofi nakupa hela,masikini wa akili wee, mpk leo mnahangaika na umeme wa mgao
Huwa sina Uvumilivu na the so called Fools kama huyo ninayepambana nae.Kabla uzi haujafika mbali tayari kuna battle la hatari huko juu. 😆🤣
Sijaelewa maono ya huyu Gentamycine, watu wanachangia positively ila yeye anahisi kama wanamdhihaki, kweli akili bila elimu ni kama mmasai kukaa uchi.Sawa Tajiri wa Kuwekwa.