Mafanikio ya simba sc kwa msimu huu

Mafanikio ya simba sc kwa msimu huu

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Ngao ya jamii - wanaume
Ngao yajamii - wanawake
Mashabiki bora Afrika
Ufunguzi wa kishindo AFL
ubunifu - kibegi,simba day,whatsap channel,visit zanzibar

[emoji23][emoji23][emoji23]
alikamwe-20240121-0001.jpg
 
Ngao ya jamii - wanaume
Ngao yajamii - wanawake
Mashabiki bora Afrika
Ufunguzi wa kishindo AFL
ubunifu - kibegi,simba day,whatsap channel,visit zanzibar

[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2878400
Wameanza kuwatapeli wanachama wao, hivi wanachukuliaje Wana Simba?

Kwanza Nani anataka habari ya timu za wanawake? Hizo timu za mademu zipo kutimiza kanuni Tu za Tff na CAF na FIFA tu.
 
Mpaka Kibegi na WhatsApp Channel duuu ......... viongozi wenu wametisha. Wamesahau ile ya Jaribu Tena na Rais wa FIFA kumgeukia katikati ya watu watano na kumwambia timu yako inaupiga mwingi. Kweli viongozi mnao.
Sio WhatsApp ni Whatsup soma vizuri
 
Sio WhatsApp ni Whatsup soma vizuri
Usikute huko FIFA wakitaka kuangalia vichekesho wanafungulia SIMBA TV[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa CS ni kombe?
Whatsap ni kombe?
Youtube ni kombe?
Shabiki bora ni kombe?
Kibegi ni kombe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa CS ni kombe?
Whatsap ni kombe?
Youtube ni kombe?
Shabiki bora ni kombe?
Kibegi ni kombe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Kajula tumepigwa
 
Ngao ya jamii - wanaume
Ngao yajamii - wanawake
Mashabiki bora Afrika
Ufunguzi wa kishindo AFL
ubunifu - kibegi,simba day,whatsap channel,visit zanzibar

[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2878400
Uyu kajula anatumia bangi mbichi inawezekana, ayo ndio mafanikio unayowawekea watu wenye akili timamu? Na ukute wanachama walipiga makofi Kama walimpigia manzoki makofi watashindwaje kuyapigia ayo mafanikio makofi🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom