Mafanikio ya simba sc kwa msimu huu

Mafanikio ya simba sc kwa msimu huu

Sio WhatsApp ni Whatsup soma vizuri
Screenshot_20240121_154354_Chrome.jpg

Sasa sijui nani kaosea, majibu unayo ww mwenyewe.
 
Mwenyekiti kawaita mashabiki wapuuzi, wameanza kuzozana, kwa hiyo ukitoa "MBUMBUMBU" sasa wamepewa jingine "WAPUUZI"
 
Attachments

  • VID-20240121-WA0016.mp4
    4.5 MB
Wameanza kuwatapeli wanachama wao, hivi wanachukuliaje Wana Simba?

Kwanza Nani anataka habari ya timu za wanawake? Hizo timu za mademu zipo kutimiza kanuni Tu za Tff na CAF na FIFA tu.
Hii viongozi wake ni vilaza
 
Hii timu kwa sasa ukiangalia mechi iwe tu ni kama unaangalia Ihefu au Cape Verde huko AFCON. Ukitumia feeelings za upenzi utajiumiza bure. Haina uelekeo
 
Hii timu kwa sasa ukiangalia mechi iwe tu ni kama unaangalia Ihefu au Cape Verde huko AFCON. Ukitumia feeelings za upenzi utajiumiza bure. Haina uelekeo
Pole sana sema Kuna viongozi wanatakiwa wajiuzulu pale simba sc maana wanazingua sana
 
Hii timu kwa sasa ukiangalia mechi iwe tu ni kama unaangalia Ihefu au Cape Verde huko AFCON. Ukitumia feeelings za upenzi utajiumiza bure. Haina uelekeo
Simba imefikaje huku? Nini hasa kimetokea!
 
Ngao ya jamii - wanaume
Ngao yajamii - wanawake
Mashabiki bora Afrika
Ufunguzi wa kishindo AFL
ubunifu - kibegi,simba day,whatsap channel,visit zanzibar

[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2878400
Mafanikio ya simba msimu huu ndiyo hayo.

TUWEKEE NA YA WWNGINE ILI TULINGANISHE HALAFU TUANZE KUBEZA!

A. Mafanikio ya Singida FG
B. Azam
C. Ihefu
D. Kmc
E. Na hizo timu nyingine hata majina kuyashika nashindwa

Nb: msimu huu.
 
Back
Top Bottom