Mafanikio ya SIMBA SC Msimu Ujao Yatakwamishwa Pakubwa na Mradi wa Bunju

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Watani zangu ninaba mjiandae. Msimu ujao sio wenu hakika. Na dalili mmkekwisha anza kuziona.

Wengi wenu mmekuwa mkiniuliza suala la usajili wa timu yenu.

Ukweli ni kwamba klabu yenu inataguta wachezaji wa mafungu mafungu (bei rahisi) ili kubakiwa na pesa za kuboresha miundombinu ya BUNJU COMPLEX.

Hakuna kiongozi wenu atawabia hili kwa sababu wanahofia kuwajengea hofu.

Msitarajie sajili kubwa za big names.

Na ndio maana msimu huu mmekuwa mkishindwa ku-seal target zenu kutokana na kushindwa kifedha na wapinzani wengi.

View attachment 2273338

Tatizo la Mo ni kutaka kuwavimbishia misuli wapinzani wake ili aoneoane yeye ndio kafanya kila kitu. Ndio maana ame divert fund kwa ajili ya kufinance Bunju.

Jiandaeni kisaikolojia.
 
Yanga wamefungua chuo cha ujinga na kila mwezi kinatoa wahitimu mia tano naona nyuzi za kijinga zinaongezeka kwa kasi ya 5G hapa jukwaani
 
Mkienda CAF Mnapigwa zenu nje ndani mnarudi kulala majumbani kwenu.
Wapi Rivers United
Tunarudi tu kuja kulala majumbani mwetu! au tunakuja kuwapiga tena nyinyi wanyonge wetu nje ndani, kwenye ligi ya NBC?
 
Hao wachezaji wenu wazuri mmefika wapi kimataifa ,fikeni mbali kwanza kimataifa hata hatua ya makundi,kombe ya ligi mmechukua kutokana na uzembe wa simba na timu zingine na siyo ubora wa kikosi chenu ,ubora wa kikosi tutauona kimataifa maana kule hamna chupri chupri
 
Watani zangu ninaba mjiandae. Msimu ujao sio wenu hakika. Na dalili mmkekwisha anza kuziona.

Wengi wenu mmekuwa mkiniuliza suala la usajili wa timu yenu.

Ukweli ni kwamba klabu yenu inataguta wachezaji wa mafungu mafungu (bei rahisi) ili kubakiwa na pesa za kuboresha miundombinu ya BUNJU COMPLEX.

Hakuna kiongozi wenu atawabia hili kwa sababu wanahofia kuwajengea hofu.

Msitarajie sajili kubwa za big names.

Na ndio maana msimu huu mmekuwa mkishindwa ku-seal target zenu kutokana na kushindwa kifedha na wapinzani wengi.

View attachment 2273338

Tatizo la Mo ni kutaka kuwavimbishia misuli wapinzani wake ili aoneoane yeye ndio kafanya kila kitu. Ndio maana ame divert fund kwa ajili ya kufinance Bunju.

Jiandaeni kisaikolojia.
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom