Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
- Thread starter
-
- #21
Kama huyo Fireboy aisee levo nyingineMiaka mitatu nyuma diamond alikua kwenye level moja na wakina Wizkid, davido na burnaboy ila mpaka sasa hawa jamaa wamemuacha mbali sana ,sasahiv anakazi ya kupambana na wakina ruger ,rema,joeboy, fireboy, ckay, jaywizzy n.k
As of now Diamond hauwezi moto wa Fireboy au Joeboy.Miaka mitatu nyuma diamond alikua kwenye level moja na wakina Wizkid, davido na burnaboy ila mpaka sasa hawa jamaa wamemuacha mbali sana ,sasahiv anakazi ya kupambana na wakina ruger ,rema,joeboy, fireboy, ckay, jaywizzy n.k
Haha sasa dg rema ndo unamfananisha na Simba kweli?Miaka mitatu nyuma diamond alikua kwenye level moja na wakina Wizkid, davido na burnaboy ila mpaka sasa hawa jamaa wamemuacha mbali sana ,sasahiv anakazi ya kupambana na wakina ruger ,rema,joeboy, fireboy, ckay, jaywizzy n.k
Huyo joeboy level za kina Zuchu. usimafananishe na chibuAs of now Diamond hauwezi moto wa Fireboy au Joeboy.
Subil album ya rema itoke alafu na diamond itoke alafu tutakuja hapa na record Zao, naamini album ya rema itafanya vizur kwenye chat kubwa duniani kuliko diamond ambayo itatamba sana BoomplayHaha sasa dg rema ndo unamfananisha na Simba kweli?
Nasubiri hayo maajabu.Subil album ya rema itoke alafu na diamond itoke alafu tutakuja hapa na record Zao, naamini album ya rema itafanya vizur kwenye chat kubwa duniani kuliko diamond ambayo itatamba sana Boomplay
Wanakosa uthubutu na kujiamin ni tatizo la watanzania wengiMkuu hawa wa kwetu wameisha jengewa hoja nyingi sana kuhusu wao kusonga mbele....lakini ni kama vile sikio la kufa tu
Hatari sana hawa jamaa. Vichwa vipya kila kukicha.Pia usisahau ujio wa Ruger mkuu,huyu dogo ni hatari sana
Yaani Rolls Royce anayoendesha CEO WCB, yeye anaivaa shingoni!Kidayo kanunua cheni ya Bilion 1.5
Naamini zishatoka hizo album. Mrejesho ukoje!?Subil album ya rema itoke alafu na diamond itoke alafu tutakuja hapa na record Zao, naamini album ya rema itafanya vizur kwenye chat kubwa duniani kuliko diamond ambayo itatamba sana Boomplay
Kwani bongo hamna?????Hawa jamaa wanaushirikiano sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Shudu bin shuduHuyo joeboy level za kina Zuchu. usimafananishe na chibu
Ulitabiri vizuri, come down pekee ni sawa na career nzima ya Diamond kimafanikio1[emoji16][emoji16]Subil album ya rema itoke alafu na diamond itoke alafu tutakuja hapa na record Zao, naamini album ya rema itafanya vizur kwenye chat kubwa duniani kuliko diamond ambayo itatamba sana Boomplay
Tatizo watu hawasikilizi vizuri mziki wanakuja na majina makubwa , rema huyoooo yupo kwenye kila chat duniani album yake imeshafikisha streams 1.2 billion huko SpotifyUlitabiri vizuri, come down pekee ni sawa na career nzima ya Diamond kimafanikio1[emoji16][emoji16]
Tupe mrejesho mkuuNaamini zishatoka hizo album. Mrejesho ukoje!?
Umeona maajabu mzee rema yupo billboard yukoNasubiri hayo maajabu.