Mafanikio ya Wanaijeria kwenye muziki

Mafanikio ya Wanaijeria kwenye muziki

Miaka mitatu nyuma diamond alikua kwenye level moja na wakina Wizkid, davido na burnaboy ila mpaka sasa hawa jamaa wamemuacha mbali sana ,sasahiv anakazi ya kupambana na wakina ruger ,rema,joeboy, fireboy, ckay, jaywizzy n.k
Kama huyo Fireboy aisee levo nyingine
 
Miaka mitatu nyuma diamond alikua kwenye level moja na wakina Wizkid, davido na burnaboy ila mpaka sasa hawa jamaa wamemuacha mbali sana ,sasahiv anakazi ya kupambana na wakina ruger ,rema,joeboy, fireboy, ckay, jaywizzy n.k
As of now Diamond hauwezi moto wa Fireboy au Joeboy.
 
Miaka mitatu nyuma diamond alikua kwenye level moja na wakina Wizkid, davido na burnaboy ila mpaka sasa hawa jamaa wamemuacha mbali sana ,sasahiv anakazi ya kupambana na wakina ruger ,rema,joeboy, fireboy, ckay, jaywizzy n.k
Haha sasa dg rema ndo unamfananisha na Simba kweli?
 
Subil album ya rema itoke alafu na diamond itoke alafu tutakuja hapa na record Zao, naamini album ya rema itafanya vizur kwenye chat kubwa duniani kuliko diamond ambayo itatamba sana Boomplay
 
Nasubiri hayo maajabu.
 
Kidayo kanunua cheni ya Bilion 1.5
Yaani Rolls Royce anayoendesha CEO WCB, yeye anaivaa shingoni!

Inanikumbusha Roberto Carlos alivyolaaniwa na wa_Brazil masikini baada ya kudai "anavaa nyumba mkononi". Yaani gharama ya saa yake.
 
Subil album ya rema itoke alafu na diamond itoke alafu tutakuja hapa na record Zao, naamini album ya rema itafanya vizur kwenye chat kubwa duniani kuliko diamond ambayo itatamba sana Boomplay
Naamini zishatoka hizo album. Mrejesho ukoje!?
 
Subil album ya rema itoke alafu na diamond itoke alafu tutakuja hapa na record Zao, naamini album ya rema itafanya vizur kwenye chat kubwa duniani kuliko diamond ambayo itatamba sana Boomplay
Ulitabiri vizuri, come down pekee ni sawa na career nzima ya Diamond kimafanikio1[emoji16][emoji16]
 
Tatizo watu hawasikilizi vizuri mziki wanakuja na majina makubwa , rema huyoooo yupo kwenye kila chat duniani album yake imeshafikisha streams 1.2 billion huko Spotify
 
Inakuwaje Video nyingi za Watz zina views wengi kuliko Wanaija wengi?
 
Back
Top Bottom