Mafao kwa viongozi baada ya kustaafu

Mafao kwa viongozi baada ya kustaafu

Mr. Tutor

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
853
Reaction score
2,595
Moja kwa moja kwenye mada:
Mtu anakuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, baadae anateuliwa kuwa jaji kisha anateuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa wizara na hatujui mbeleni atateuliwa nafasi gani nyingine.
Swali langu mtu ametumikia nafasi tatu au nne au tano tofauti na zote zina maslahi tofauti ya pension. Je anapostaafu mafao yake yatazingatia nafasi ipi?
 
Back
Top Bottom