Mafao mifuko ya kijamii baada ya kufukuzwa kazi

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Wakuu

Hivi kama MTU ulikua muajiriwa serikalini labda kwa miaka 20 na ikatokea umefanya kosa ukafukuzwa kazi, Je mafao uliokua unachangia kwenye mifuko ya kijamii unastahili kulipwa?

Naomba ufafanuzi tafadhali maana barua inasema umepoteza stahiki zako zote
 
Ukifukuzwa kaz unapata stahili zako kwa maana ya kupewa ulichokuwa unachangia unapewa bila tatzo lolote. Ndugu yangu alikuwa afsa kilimo kata mwaka jana kafukuzwa kaz na pesa yake aliyokuwa anachangia kapata yote
 
Mkuu so kwa miaka hiii
 
sio watakwambia ukae hadi umri Fulani wa kustaafu ndio wanakupa
 
Kama ni NSSF hawakupi ndugu yangu...wale ni rubbish kabisa!!!... Mifuko mingine wanatoa nasikia...

Nssf rubbish namba moja, wanadai mswaada umepelekwa bungeni kwahiyo wanasubiri bunge lijadili aidha upatiwe ukifikisha umri wa 60 miaka au lah!!
 
Kama ni NSSF hawakupi ndugu yangu...wale ni rubbish kabisa!!!... Mifuko mingine wanatoa nasikia...

Nssf rubbish namba moja, wanadai mswaada umepelekwa bungeni kwahiyo wanasubiri bunge lijadili aidha upatiwe ukifikisha umri wa 60 miaka au lah!!
 
Ukifukuzwa kaz unapata stahili zako kwa maana ya kupewa ulichokuwa unachangia unapewa bila tatzo lolote. Ndugu yangu alikuwa afsa kilimo kata mwaka jana kafukuzwa kaz na pesa yake aliyokuwa anachangia kapata yote

Huyo ndugu yako alikuwa mfuko gani? PPF?
 
Back
Top Bottom