The Giant JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 504 Reaction score 96 Apr 24, 2013 #1 Habari wadau? Hivi, kuna ulazima kisheria kwa mfanyakazi kujiunga na mifuko ya kijamii(Social Security Funds). Na je, Mwajiri akishindwa kukulipa hayo makato (kwa upande wa NSSF), adhabu yake ni nini? Naomba kuwasilisha!
Habari wadau? Hivi, kuna ulazima kisheria kwa mfanyakazi kujiunga na mifuko ya kijamii(Social Security Funds). Na je, Mwajiri akishindwa kukulipa hayo makato (kwa upande wa NSSF), adhabu yake ni nini? Naomba kuwasilisha!