Mafao ya Mifuko ya Jamii (NSSF, PSPF, PPF, etc)

Mafao ya Mifuko ya Jamii (NSSF, PSPF, PPF, etc)

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Habari wadau?
Hivi, kuna ulazima kisheria kwa mfanyakazi kujiunga na mifuko ya kijamii(Social Security Funds).
Na je, Mwajiri akishindwa kukulipa hayo makato (kwa upande wa NSSF), adhabu yake ni nini?
Naomba kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom