Kibiriti upele
New Member
- Sep 29, 2018
- 2
- 0
Ni miezi sita kasoro sasa tangu ajira yangu ya mkataba Serikalini ikome. Mwezi wa nne nilifanya maombi ya mafao ya special lump sum nikiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzangu, ambao baada ya takribani mwezi mmoja tu walifanikiwa kupata mafao yao.
Changamoto ni kwangu tu, sijui kuna shida gani huko ofisini kwao. Kila ukiwapigia simu wanasema wanashughulikia lakini hakuna kinachofanyika. Kila wiki wananiambia mwisho wa wiki ijayo yatakuwa yametoka.
Naona hii imefikia kiwango cha kuwa kero na sio huduma nzuri. Msaada kwenye hili nimechoka kweli.