Magane JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 202 Reaction score 57 Jun 17, 2014 #1 Naomba msaada wjf.Mimi niliwahi kuwa mwalimu kwa muda wa miaka 18 nilipotoka serikalini na kujiunga na private sec schools.Umri wangu wa kustaafu umefika je naweza naweza kupata mafao yangu kwa kipindi nilichotumikia serikalini. Nawasilisha
Naomba msaada wjf.Mimi niliwahi kuwa mwalimu kwa muda wa miaka 18 nilipotoka serikalini na kujiunga na private sec schools.Umri wangu wa kustaafu umefika je naweza naweza kupata mafao yangu kwa kipindi nilichotumikia serikalini. Nawasilisha
T time theory JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 766 Reaction score 637 Jun 17, 2014 #2 Kwa mujibu wa sheria kama ulichangia kwa miaka 15 unastahili mafao,nenda kwenye ofisi za mfuko uliokuwa unachangia wakupe taratibu.
Kwa mujibu wa sheria kama ulichangia kwa miaka 15 unastahili mafao,nenda kwenye ofisi za mfuko uliokuwa unachangia wakupe taratibu.
Magane JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 202 Reaction score 57 Jun 17, 2014 Thread starter #3 time theory said: Kwa mujibu wa sheria kama ulichangia kwa miaka 15 unastahili mafao,nenda kwenye ofisi za mfuko uliokuwa unachangia wakupe taratibu. Click to expand... Asante kwa msaada wako .Nilitoka zamani huko nianze na ofisi gani ya mfuko wa watumishi wa serikali walimu mimi niko mikoani
time theory said: Kwa mujibu wa sheria kama ulichangia kwa miaka 15 unastahili mafao,nenda kwenye ofisi za mfuko uliokuwa unachangia wakupe taratibu. Click to expand... Asante kwa msaada wako .Nilitoka zamani huko nianze na ofisi gani ya mfuko wa watumishi wa serikali walimu mimi niko mikoani
T time theory JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 766 Reaction score 637 Jun 17, 2014 #4 Angalia salary slips zako na utaona mfuko uliokuwa unachangia,kisha ulizia ofisi zao za huko mkoani. Kila lakheri
Angalia salary slips zako na utaona mfuko uliokuwa unachangia,kisha ulizia ofisi zao za huko mkoani. Kila lakheri