Mafao yangu ya utumishi

Mafao yangu ya utumishi

Magane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
202
Reaction score
57
Naomba msaada wjf.Mimi niliwahi kuwa mwalimu kwa muda wa miaka 18 nilipotoka serikalini na kujiunga na private sec schools.Umri wangu wa kustaafu umefika je naweza naweza kupata mafao yangu kwa kipindi nilichotumikia serikalini. Nawasilisha
 
Kwa mujibu wa sheria kama ulichangia kwa miaka 15 unastahili mafao,nenda kwenye ofisi za mfuko uliokuwa unachangia wakupe taratibu.
 
Kwa mujibu wa sheria kama ulichangia kwa miaka 15 unastahili mafao,nenda kwenye ofisi za mfuko uliokuwa unachangia wakupe taratibu.

Asante kwa msaada wako .Nilitoka zamani huko nianze na ofisi gani ya mfuko wa watumishi wa serikali walimu mimi niko mikoani
 
Angalia salary slips zako na utaona mfuko uliokuwa unachangia,kisha ulizia ofisi zao za huko mkoani.

Kila lakheri
 
Back
Top Bottom