Hayo hayakuwa mafataki, zilikuwa salamu za usiku mwema kutoka kwetu wazee wa Tanga.Unaambiwa Usiku wa Leo ulikuwa ni Usiku wa kuliza mafataki nje ya hotel waliofikia utopolo naaanza kuwaonea huruma yanga je kama wachezaji wao hawajapata pumziko la kutosha Nini kitatokea[emoji23][emoji119][emoji119]
View attachment 2644617View attachment 2644618
Kweli, haiwezekani watu tumelala halafu mtuletee mapigo hizoLazima tupeleke malalamiko CAF kwa kufanyiwa vurugu
Waalgeria wanajua mapambano, siyo Wamorocco wale. Hata uhuru wao hawakupewa mezani. Nadhani ndiyo waarabu wagumu wagumu na wakorofi kuliko wote Afrika Kaskazini.[emoji75][emoji28] ila hawa jamaa wanajua kupoteza watu kimchezo
Tupo hapa hapaaa wait and seeMkuu una uhakika wa kumfunga muarabu kwake goli 2
Hawa jamaa bana Bora uanzie Kwao umalizane nao ila ukianzia kwako ukamalizie Kwao umeisha.Waalgeria wanajua mapambano, siyo Wamorocco wale. Hata uhuru wao hawakupewa mezani. Nadhani ndiyo waarabu wagumu wagumu na wakorofi kuliko wote Afrika Kaskazini.
Tayari wao walishatangulia kuwalalamikia huko CAF.Lazima tupeleke malalamiko CAF kwa kufanyiwa vurugu