Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIPIGO CHA 3-0 BILA KIPO PALE WA ALGERIA WASNGE KAMA WASNGE WENGINE TULIOWABAKA KWAOUnaambiwa usiku wa leo ulikuwa ni usiku wa kuliza mafataki nje ya hoteli waliofikia Yanga. Naanza kuwaonea huruma Yanga.
Je, kama wachezaji wao hawajapata pumziko la kutosha nini kitatokea?[emoji23][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenyewe hawawapulizii dawa wanapulizia kelele....hahahhaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rafikii leo andaa lesso kubwaa ya cotton ili chozi lifutike vizuriDalili ya uoga tu hiyo. Maana wanaifahamu fika Yanga inaweza kupata matokeo mahali popote pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa taarifa nilizozipata ni kwamba waliamshwa ili waende kuswaliwa sala ya maiti [emoji23][emoji23][emoji23] .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nlikuwa nchi flan hivi huko asia nipo zangu hotelini nimetulia nlikuwa sina utaratibu wa kutoka nje ya hoteli na chuon peke yake sababu tulitahadharishwa usalama kwa wagen was not a guarantee.
Gafla mida ya saanne usiku nikasikia mafataki, nikajua kimenuka ni risasi zinapigwa, kuwa uliza washkaji nao wamepanic hawaongei vinavyoelewek, nikapiga simu nyumbani kuwambia hali sio shwari huku wakasikia kweli milipuko. Kwenye magroup ya familia kukachafuka. Ikabidi nichomoe kadi ya mlango ili kusudi kama watavamia wajue sipo room nimetoka nikazima taa nikalala kuja kuuliza kesho yake ndo nikaambiwa mafataki. Nikawambia nexxt time watupe taarifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tobaaa nilidhani vita ya 3 ya dunia duhhhسوسوسنينيوسنسيويوطوسرثتيرظرثتتتظتسAL SHABAB[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23]
Uzuri leo tunacheza fainali ya 2. Hivyo lazima mshindi wa 1 na 2 wapatikane. Tukikosa nafasi ya mshindi wa 1, tutapata ile ya mshindi wa 2.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rafikii leo andaa lesso kubwaa ya cotton ili chozi lifutike vizuri