Mafataki yapigwa nje ya hoteli waliofikia Yanga

Uto kama hawajabeba njumu za kuchoma ardhini leo wataanguka kama kuku wenye kideri
 
Unaambiwa usiku wa leo ulikuwa ni usiku wa kuliza mafataki nje ya hoteli waliofikia Yanga. Naanza kuwaonea huruma Yanga.

Je, kama wachezaji wao hawajapata pumziko la kutosha nini kitatokea?[emoji23][emoji119][emoji119]

KIPIGO CHA 3-0 BILA KIPO PALE WA ALGERIA WASNGE KAMA WASNGE WENGINE TULIOWABAKA KWAO
 
Ingekuwa ni waarabu wamefanyiwa hivyo, mpaka sasa ungeona barua kutoka CAF
 
Dalili ya uoga tu hiyo. Maana wanaifahamu fika Yanga inaweza kupata matokeo mahali popote pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rafikii leo andaa lesso kubwaa ya cotton ili chozi lifutike vizuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tobaaa nilidhani vita ya 3 ya dunia duhhhسوسوسنينيوسنسيويوطوسرثتيرظرثتتتظتسAL SHABAB[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rafikii leo andaa lesso kubwaa ya cotton ili chozi lifutike vizuri
Uzuri leo tunacheza fainali ya 2. Hivyo lazima mshindi wa 1 na 2 wapatikane. Tukikosa nafasi ya mshindi wa 1, tutapata ile ya mshindi wa 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…