View attachment 3538426
Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua watu na watoto na kuwabaka na kuwalawiti...
Leo huko mafia kwenye uislamu 99.99% Mwalimu wa MADRASA kabaka na kulawiti watoto 15
Haya matukio ni mengi sana
Je Tuseme ndio uislam?
Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu
Malezi na elimu ya Kiroho inaanzia Nyumbani,
Kanisa linaanzia Nyumbani
Tunaishi kwenye kizazi kibaya sana ,hutakiwi kumuamini mtu akutengenezee mtoto wako
Mtoto akitoka shule fatilia nini kimejiri huko shuleni
Wazazi tuwe makini sana kwenye malezi
Bila kusahau matuio kibao ya hapa hapa Nchini...
Tutenge dini na watu wanaochafua dini... Otherwise kila upande una taarifa mbaya sana za upande wa pili..
Chizi Maarifa Kuna kipindi alikuwa ustaz wa madrassa ya issa bin Mariam naye pia achunguzwe

Stori za mapadre kula viboga vya watoto ni nyingi kuliko za maostaz
Tena ukizingatia kwenye wito wao wanawekwa mbali na nyege wakati ni rijali kwa kila ajali iliyotukuka
Mimi nazungumzia njiki haipaswi kumlaumu njeke kwa kumgalagazaView attachment 3538434
Sheikh wangu hii umeisikia lakini? Unaona ni sawa sababu kuna padre alikufanyia hivyo? Daaaah.
Wewe mbona unaleta battle kinyume na UziStori za mapadre kula viboga vya watoto ni nyingi kuliko za maostaz
Tena ukizingatia kwenye wito wao wanawekwa mbali na nyege wakati ni rijali kwa kila ajali iliyotukuka
Ukakasi mwingi wenye husdaWewe mbona unaleta battle kinyume na Uzi
Wewe pimbi beba tatizo kama linakuhusu wewe unaishi kwenye jamii yenye watu tofauti tofauti ishu siyo nani anafanya the issue ni wanaofanyiwa ni watoto zetu,ndugu zetu wajomba zetu etc.Stori za mapadre kula viboga vya watoto ni nyingi kuliko za maostaz
Tena ukizingatia kwenye wito wao wanawekwa mbali na nyege wakati ni rijali kwa kila ajali iliyotukuka
Sijaelewa mkuu. Kwahiyo hao Maostaz nao wanalawiti vitoto kwa bidii ili nao stori zao ziwe nyingi kupita mapadre?Stori za mapadre kula viboga vya watoto ni nyingi kuliko za maostaz
Tena ukizingatia kwenye wito wao wanawekwa mbali na nyege wakati ni rijali kwa kila ajali iliyotukuka
Naona wanashindanaSijaelewa mkuu. Kwahiyo hao Maostaz nao wanalawiti vitoto kwa bidii ili nao stori zao ziwe nyingi kupita mapadre?