Ungesema kwa uelewa usingeona utofauti wangu na wakoSijaelewa mkuu. Kwahiyo hao Maostaz nao wanalawiti vitoto kwa bidii ili nao stori zao ziwe nyingi kupita mapadre?
We fala Namaanisha hivi, si kila taarifa ni ya kutoa hadharaniWewe pimbi beba tatizo kama linakuhusu wewe unaishi kwenye jamii yenye watu tofauti tofauti ishu siyo nani anafanya the issue ni wanaofanyiwa ni watoto zetu,ndugu zetu wajomba zetu etc.
Wakiharibikiwa hao aharibikiwi padre sijui shehe ostazi mwalimu au nani tunaoharibikiwa ni sisi,kwa hiyo kama mapadri wanalawiti ndiyo iwe sababu ya wengine kulawiti?ficha ujinga wako.
Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua watu na watoto na kuwabaka na kuwalawiti...
Leo huko mafia kwenye uislamu 99.99% Mwalimu wa MADRASA kabaka na kulawiti watoto 15
Haya matukio ni mengi sana
Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu
Je Tuseme ndio uislam?
Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu
Malezi na elimu ya Kiroho inaanzia Nyumbani,
Kanisa linaanzia Nyumbani
Tunaishi kwenye kizazi kibaya sana ,hutakiwi kumuamini mtu akutengenezee mtoto wako
Mtoto akitoka shule fatilia nini kimejiri huko shuleni
Wazazi tuwe makini sana kwenye malezi
Bila kusahau matuio kibao ya hapa hapa Nchini...
Tutenge dini na watu wanaochafua dini... Otherwise kila upande una taarifa mbaya sana za upande wa pili..
Hahah huyo mwamba miyeyusho sana.Naona wanashindana
Mkuu padre akibaka haipaswi kutangazwa hadharani? Sheikh akibaka haipaswi kutangazwa hadharani? Hayo ni makosa ya jinaiWe fala Namaanisha hivi, si kila taarifa ni ya kutoa hadharani
Wewe mama yako akichepuka utatangazia mtaani kuwa mama yako ni mzinzi mbali na kufumaniwa kisa tu unapenda ukweli.!
Nyie mbwa GenZ kuweni na adabu na mipaka
Huyu mtoa mada kwa bandiko lake linaashiria mengi mbali na ujumbe
Sawa si vibaya kuzodoa Kobazi lakini si kwa umajinuni
Mkuu mnasemaga ukristo si dini ya Mungu, kwa hiyo matukio haya yakitokea kwenye dini ambayo sio ya Mungu haiwezi kuwa ajabu.Mbona Kuna scenarios zaidi ya buku ya matukio ya walimu wa mafundisho na mapadri kulawiti ?
Wagalatia Wenye chuki shida sana hii mada washaichulia kichukibza kidini wakifurahia na wakitokwa mapovu .
Cheki hizi madudu haya..
View attachment 3538470
Zipo nyingi sana Mcmillan de Maghayo
loose Nut waambie wenzako wakina Yoda na hamis77 Che mittoga nk haya mambo sio ya kuchukulia ushabiki wa kidini na kufurahia.View attachment 3538473
Tuendelee Au ?View attachment 3538476
Kwa Leo tuishie hapa
View attachment 3538477
Sijasema si kosaMkuu padre akibaka haipaswi kutangazwa hadharani? Sheikh akibaka haipaswi kutangazwa hadharani? Hayo ni makosa ya jinai
Unatoa mfano wa mama mzazi kuchepuka, hiyo inatangazwa vipi hadharani wakati sio kosa la jinai?
Hakuna taratibu yoyote, kiongozi wa dini akitenda jinai tutajua na habari zake lazima zitoke sababu atakamatwa na kufikishwa polisi na mahakamaniSijasema si kosa
Bali Kuna taratibu maaluum za kufata na kukabidhi watu wa namna hiyo kwenye mikono ya sheria na si kupayukapayuka hovyo
Huwezi kushughulika na watu walio ndani ya taasisi za kidini kama unadeal na mlevi
Taasisi za kidini ni sawa na mzazi na mlezi wa jamiiHakuna taratibu yoyote, kiongozi wa dini akitenda jinai tutajua na habari zake lazima zitoke sababu atakamatwa na kufikishwa polisi na mahakamani
Hakuna sheria yoyote inayosema kiongozi wa dini akitenda jinai basi isitangazwe.
Kushuhulikiwa huko ndio haipaswi habari zitoke? Taasisi za kidini kuwa mzazi au mlezi wa jamii haimaanishi kuwa mmoja wao akitenda jinai basi inapaswa kuwa SiriTaasisi za kidini ni sawa na mzazi na mlezi wa jamii
Wanashughulika kwa upana wa malezi ya waumini wao
Kama umewahi kuwa mzazi na mlezi utaelewa Namaanisha nini
Wanashughulikiwa lakini kwa kuepuka vitu vinavyoweza kuweka taswira mbaya kitaasisi kwa wenye uelewa mdogo kama fulani wasipate taharuki
Tembea na gari lenye spika katangaze Juma 2 zote ustadhi kabakaKushuhulikiwa huko ndio haipaswi habari zitoke? Taasisi za kidini kuwa mzazi au mlezi wa jamii haimaanishi kuwa mmoja wao akitenda jinai basi inapaswa kuwa Siri
Huwezi kulawiti Watoto alafu habari zizitangazwe. Huo utakua ni upumbavu
Ukilawiti Watoto lazima habari zitangazwe, lazima tujue. Hiyo ni lazima maana kesi huwa wazi sio siri
Big Show na Stuxnet😀😀Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua watu na watoto na kuwabaka na kuwalawiti...
Leo huko mafia kwenye uislamu 99.99% Mwalimu wa MADRASA kabaka na kulawiti watoto 15
Haya matukio ni mengi sana
Je Tuseme ndio uislam?
Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu
Malezi na elimu ya Kiroho inaanzia Nyumbani,
Kanisa linaanzia Nyumbani
Tunaishi kwenye kizazi kibaya sana ,hutakiwi kumuamini mtu akutengenezee mtoto wako
Mtoto akitoka shule fatilia nini kimejiri huko shuleni
Wazazi tuwe makini sana kwenye malezi
Bila kusahau matuio kibao ya hapa hapa Nchini...
Tutenge dini na watu wanaochafua dini... Otherwise kila upande una taarifa mbaya sana za upande wa pili..