Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Yani unapata vishawishi Kwa watotoMimi nmefundisha sana watoto Madrasa. Vishawishi ni vingi lakini nilivishinda kwa kweli. Mzee wangu mpaka leo ana msikiti wake kitaaa.mkubwa tu
Dunia ilishatoka huko. Sasa Kuna mitandao, ukibaka lazima tutajua tu uwe sheikh au uwe padre lazima tukutangazeTembea na gari lenye spika katangaze Juma 2 zote ustadhi kabaka
TakbiirNafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua watu na watoto na kuwabaka na kuwalawiti...
Leo huko mafia kwenye uislamu 99.99% Mwalimu wa MADRASA kabaka na kulawiti watoto 15
Haya matukio ni mengi sana
Je Tuseme ndio uislam?
Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu
Malezi na elimu ya Kiroho inaanzia Nyumbani,
Kanisa linaanzia Nyumbani
Tunaishi kwenye kizazi kibaya sana ,hutakiwi kumuamini mtu akutengenezee mtoto wako
Mtoto akitoka shule fatilia nini kimejiri huko shuleni
Wazazi tuwe makini sana kwenye malezi
Bila kusahau matuio kibao ya hapa hapa Nchini...
Tutenge dini na watu wanaochafua dini... Otherwise kila upande una taarifa mbaya sana za upande wa pili..
Niipunguza sana imani yangu kuhusu uwepo wa Mungu na jinsi anavyotoa adhabu baada ya kuona viongozi wa dini wanafanya uchafu kama huu na hakuna adhabu wanayoshushiwa kutoka kwa Mungu. Badala yake tunategemea mifumo ya kisheria iliyowekwa na mwanadamu ndio iwahukumu.Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua watu na watoto na kuwabaka na kuwalawiti...
Leo huko mafia kwenye uislamu 99.99% Mwalimu wa MADRASA kabaka na kulawiti watoto 15
Haya matukio ni mengi sana
Je Tuseme ndio uislam?
Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu
Malezi na elimu ya Kiroho inaanzia Nyumbani,
Kanisa linaanzia Nyumbani
Tunaishi kwenye kizazi kibaya sana ,hutakiwi kumuamini mtu akutengenezee mtoto wako
Mtoto akitoka shule fatilia nini kimejiri huko shuleni
Wazazi tuwe makini sana kwenye malezi
Bila kusahau matuio kibao ya hapa hapa Nchini...
Tutenge dini na watu wanaochafua dini... Otherwise kila upande una taarifa mbaya sana za upande wa pili..
Hiyo ni tabia ya mwalimu siyo Uisilamu,maana Uisilamu unakataza hata kutembe na mtu mzima asiyekuwa mke wakoNafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua watu na watoto na kuwabaka na kuwalawiti...
Leo huko mafia kwenye uislamu 99.99% Mwalimu wa MADRASA kabaka na kulawiti watoto 15
Haya matukio ni mengi sana
Je Tuseme ndio uislam?
Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu
Malezi na elimu ya Kiroho inaanzia Nyumbani,
Kanisa linaanzia Nyumbani
Tunaishi kwenye kizazi kibaya sana ,hutakiwi kumuamini mtu akutengenezee mtoto wako
Mtoto akitoka shule fatilia nini kimejiri huko shuleni
Wazazi tuwe makini sana kwenye malezi
Bila kusahau matuio kibao ya hapa hapa Nchini...
Tutenge dini na watu wanaochafua dini... Otherwise kila upande una taarifa mbaya sana za upande wa pili..
Hiyo ni tabia ya mwalimu siyo Uisilamu,maana Uisilamu unakataza hata kutembe na mtu mzima asiyekuwa mke wako
Don't be confused na misimamo yangu kuhusu Serikali, I am a christian (RC) by birth abd inclination
Inalilah raajun, leo hujawatag na shoga zako mje kunichamba kwa pamoja?Astaghafilulah hapo ndo akina Munch wa Annabelle huzalishwa. Likija humu linajiita jina la annabelle kama vile ndo jina litafanya watu wavutiwe na chokoliko toka tupo mdogo anafanywa huu uchafu.
Inalilah raajun, leo hujawatag na shoga zako mje kunichamba kwa pamoja?
Mimi nmefundisha sana watoto Madrasa. Vishawishi ni vingi lakini nilivishinda kwa kweli. Mzee wangu mpaka leo ana msikiti wake kitaaa.mkubwa tu