Mafikizolo kufanya collabo na Diamond

Usitufanye watoto wenzako, kadanganye facebook wenzako
 
Title ===> Picha-ndoto ya mafikizolo kufanya
collabo na Diamond yatimia
Kwani hapo nimekosea nini ndugu,ikiwa wao ndio walioomba collabo?Diamond alikuwa na uwezo wa kuwakatalia so kukubali kwake ,ndoto yao imetimia,usikute walikua wanamvizia akitua tu kwao..wafanye nae kweli..
 
Usitufanye watoto wenzako, kadanganye facebook wenzako

So unachobisha ni nini sasa?au we ndio ulikuwepo?Nyimbo kibao tu Diamond huzitumgia studio bila kujiandaa..kichwa kile wewe Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Kwani hapo nimekosea nini ndugu,ikiwa wao ndio walioomba collabo?Diamond alikuwa na uwezo wa kuwakatalia so kukubali kwake ,ndoto yao imetimia,usikute walikua wanamvizia akitua tu kwao..wafanye nae kweli..

Mmmmmh unaeleza kwa unyonge sana mkuu !
Kubali tu kwamba you've erred ! Yaishe maelezo mengi hayana umuhimu hapa !
 
Hamna msanii kwenye tuzo za mtv alikuwa anahema hema tu mpaka davido akawa anamgusa asiimbe ikawa anafatisha playback tu.
 
Jamaa ni hardworker anastahili kufika alipofika.Big up!
 
Hongera diamond,ongeza bidii usikatishwe tamaa ulipotufikisha watz unastahili sifa.

HOD sasa naona unaanza kubadilika majibu yako kwa wanaoponda ni ya hekima ,endelea hivyo maana unapotoa taharifu kuna watu watakaokubaliana na wengine kuponda ( hata kama hawana sababu ya msingi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…