Mafinga mayai yanauzwa Baa usiku? Nimeshangaa sana

Mafinga mayai yanauzwa Baa usiku? Nimeshangaa sana

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Hongereni kwa sherehe za mwenge wa uhuru.

Tembea uone.

Huu mji upo wilaya ya Mufindi, kunakosifika kwa baridi kali sana. Baridi kweli ipo ni noma, yale maneno ya kuwa AC mnasema wawashe mufindi ni kweli bana.

Ila nimeshangaa sana watu wanakula mayai ya kuchemsha mida hii tena bar. Shikamoo wahehe na wanamafinga. Naona mmeiga tabia za wachina.
 
Hongereni kwa sherehe za mwenge wa uhuru.

Tembea uone.

Huu mji upo wilaya ya Mufindi, kunakosifika kwa baridi kali sana. Baridi kweli ipo ni noma, yale maneno ya kuwa AC mnasema wawashe mufindi ni kweli bana.

Ila nimeshangaa sana watu wanakula mayai ya kuchemsha mida hii tena bar. Shikamoo wahehe na wanamafinga. Naona mmeinga tabia za wachina.
K-vant imekolea mkuu😀
 
Ila naona matukio. Kama hila la kula mayai ya kuchemsha bar. Nilikuwa sijaona.

Una umri gani?

yaani umekosa ht kutuletea taarifa kwamba miradi mingapi imezinduliwa na mwenge
au zipo fursa gani za biashara huko

ww unashangaa biashara halali kufanyika

kama ulienda kwaajiri ya mwenge basi hakuna faida ya wewe kuhudhuria huko Mafinga

pole
 
Back
Top Bottom