Mafinga mayai yanauzwa Baa usiku? Nimeshangaa sana

Mafinga mayai yanauzwa Baa usiku? Nimeshangaa sana

Hizo taarifa tazama tv, soma magazeti pia yupo yule jamaa msemaji wa wabunge somebody steven atakuletea. Kwa nini unapanga habari ya kuripotiwa?

Unajua sasa hivi ni muda gani?

Fuatilia mbio za mwenge ujue habari za miradi.
 
BM hapa ila kuna bar inaitwa Calabash zinafuatana. Baridi ni kali sana. Hizi pc zinajua kuna mwenge bei inaanzia 50 na unalipia 10.
Kibaa cha ovyo ovyo tu iko ila ndio ivo wauzaji wapo. Uchawi wa Mafinga centre ya biashara ya mbao mtu kutoa 50 hashangai. Tatizo tunaojitafuta tunaona kama tunaibiwa.

Mimi nilikua hapo onetime nikaona kabisa 40k naibiwa kwa night. Nikajipa moyo nikarudi na utamu wangu. Uzuri gari likazingua Morogoro tukalala. Moro ndio unyama.
 
Kibaa cha ovyo ovyo tu iko ila ndio ivo wauzaji wapo. Uchawi wa Mafinga centre ya biashara ya mbao mtu kutoa 50 hashangai. Tatizo tunaojitafuta tunaona kama tunaibiwa. Mi nilikua hapo onetime nikaona kabisa 40k naibiwa kwa night. Nikajipa moyo nikarudi na utamu wangu. Uzuri gari likazingua Morogoro tukalala. Moro ndio unyama.
Pale moro unyama sana. Star park mpango mzima.
 
Mimi siwezi ila tumepeana experience ndani ya Tanganyika.
Kawaida sana Sasa..huku Sengerema nimekuta wanaleta Karanga za kuchemsha, Mayai ya kuchemsha, njugu mawe za kuchemsha, ndivi mbivu, mihogo ya kuchoma , viazi vitamu vya kuchoma ..yaani ni wewe tu na nyongo yako ...so sishangai.
 
Sema mayai yamepita watu wameamua kununua siio kwamba ni tamaduni, hii exaggeration mzee.

Ila pia si mbaya, watu wanakula makange na pombe, tena balimi au kilimanjaro, watu wanakula mbege na utumbo wa nguruwe. Na wako fiti tu.
 
😅
 
Hizo hazina shida. Hivi unaelewa lakini mayai ya kuchemsha. Umevunja paa, kumbe viza😅.
 
Hebu twende taratibu, hayo mayai ni mabichi, yamekaangwa au yamechemshwa?
 
Oya. Wakati mgeni nilikua najiona classy naenda Samaki. Nilivyoanza kwenda SP sijawahi juta. Sometimes nikiziotea natoka Dar weekend naenda Moro. Samaki tunadanganywa kuna madogo wa SUA ila hamna kitu.
Uliza wenyeji mara zote
 
Hapo anasindikizia na nyama choma na safari hahhhahh dah
 
Back
Top Bottom