Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
K-vant imekolea mkuu😀Hongereni kwa sherehe za mwenge wa uhuru.
Tembea uone.
Huu mji upo wilaya ya Mufindi, kunakosifika kwa baridi kali sana. Baridi kweli ipo ni noma, yale maneno ya kuwa AC mnasema wawashe mufindi ni kweli bana.
Ila nimeshangaa sana watu wanakula mayai ya kuchemsha mida hii tena bar. Shikamoo wahehe na wanamafinga. Naona mmeinga tabia za wachina.
Sasa ndo mle mayai bar? Yaani umepiga konyagi ama K vanti yako afu unakula na yai la kuchemsha.Kuna muda maalumu wa kula mayai?
Embu fafanua bhana.
Ila naona matukio. Kama hila la kula mayai ya kuchemsha bar. Nilikuwa sijaona.K-vant imekolea mkuu😀
😂Wananyota ya Kenge..
Maana Kenge kwa Mayai 🙌
Naheshimu tamaduni 😅, ila sizuiwi kushangaaMbona ni kawaida kabisa
Yupo sahihi. Mayai na bia Hilo tumbo hapo sio poaHamna cha ajabu hapo
😂PratatatataasSi ni mwendo wa mbrrr mbrr mbrrrr
😂Kuboresha afya ni muda wowote.
🤣😂Pratatatataas
Ila naona matukio. Kama hila la kula mayai ya kuchemsha bar. Nilikuwa sijaona.
Hatari sana. Wizara ya afya ilitazme hiliWatu wana jamba club