Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
- Thread starter
-
- #21
BM hapa ila kuna bar inaitwa Calabash zinafuatana. Baridi ni kali sana. Hizi pc zinajua kuna mwenge bei inaanzia 50 na unalipia 10.Upo Bar gani hapo? Sema kama mgeni umebugi kwenda mwezi wa 6.
Chips bia mbona kuna watu wanakunywa si kuna mayai mule?Yupo sahihi. Mayai na bia Hilo tumbo hapo sio poa
Kama Hauwezi acha .....sio pumzi hiyo.....Sasa ndo mle mayai bar? Yaani umepiga konyagi ama K vanti yako afu unakula na yai la kuchemsha.
Sawa sio sumu ila shikamooni.
Kula mayai sio shida, inategemea na form. Haya ya kuchemsha, una gonga paa, unamenya, unaomba chumvi na kuanza kula. Kama ndiyo utaratibu sawa. Ila binafsi nimeshangaa sana.Chips bia mbona kuna watu wanakunywa si kuna mayai mule?
Kibaa cha ovyo ovyo tu iko ila ndio ivo wauzaji wapo. Uchawi wa Mafinga centre ya biashara ya mbao mtu kutoa 50 hashangai. Tatizo tunaojitafuta tunaona kama tunaibiwa.BM hapa ila kuna bar inaitwa Calabash zinafuatana. Baridi ni kali sana. Hizi pc zinajua kuna mwenge bei inaanzia 50 na unalipia 10.
Mimi siwezi ila tumepeana experience ndani ya Tanganyika.Kama Hauwezi acha .....sio pumzi hiyo.....
Pale moro unyama sana. Star park mpango mzima.Kibaa cha ovyo ovyo tu iko ila ndio ivo wauzaji wapo. Uchawi wa Mafinga centre ya biashara ya mbao mtu kutoa 50 hashangai. Tatizo tunaojitafuta tunaona kama tunaibiwa. Mi nilikua hapo onetime nikaona kabisa 40k naibiwa kwa night. Nikajipa moyo nikarudi na utamu wangu. Uzuri gari likazingua Morogoro tukalala. Moro ndio unyama.
Kawaida sana Sasa..huku Sengerema nimekuta wanaleta Karanga za kuchemsha, Mayai ya kuchemsha, njugu mawe za kuchemsha, ndivi mbivu, mihogo ya kuchoma , viazi vitamu vya kuchoma ..yaani ni wewe tu na nyongo yako ...so sishangai.Mimi siwezi ila tumepeana experience ndani ya Tanganyika.
😅Kawaida sana Sasa..huku Sengerema nimekuta wanaleta Karanga za kuchemsha, Mayai ya kuchemsha, njugu mawe za kuchemsha, ndivi mbivu, mihogo ya kuchoma , viazi vitamu vya kuchoma ..yaani ni wewe tu na nyongo yako ...so sishangai.
Hizo hazina shida. Hivi unaelewa lakini mayai ya kuchemsha. Umevunja paa, kumbe viza😅.Sema mayai yamepita watu wameamua kununua siio kwamba ni tamaduni, hii exaggeration mzee.
Ila pia si mbaya, watu wanakula makange na pombe, tena balimi au kilimanjaro, watu wanakula mbege na utumbo wa nguruwe. Na wako fiti tu.
Sina ushahidi.hapo bar watu wanajamba atariii 😂😂
Oya. Wakati mgeni nilikua najiona classy naenda Samaki. Nilivyoanza kwenda SP sijawahi juta. Sometimes nikiziotea natoka Dar weekend naenda Moro. Samaki tunadanganywa kuna madogo wa SUA ila hamna kitu.Pale moro unyama sana. Star park mpango mzima.
Uliza wenyeji mara zoteOya. Wakati mgeni nilikua najiona classy naenda Samaki. Nilivyoanza kwenda SP sijawahi juta. Sometimes nikiziotea natoka Dar weekend naenda Moro. Samaki tunadanganywa kuna madogo wa SUA ila hamna kitu.
Yamechemshwa😂Hebu twende taratibu, hayo mayai ni mabichi, yamekaangwa au yamechemshwa?
Najaribu kuimagine mixer ya konyagi na mayai ya kuchemsha huo ushuzi wake utanukaje...bado naimagineYamechemshwa😂