GE2025 Mafisadi matumbo joto: Kuwatishia Wananchi hakutawasaidia. Ondokeni kwa amani tuijenge nchi yetu kwa mikono ya jasho

GE2025 Mafisadi matumbo joto: Kuwatishia Wananchi hakutawasaidia. Ondokeni kwa amani tuijenge nchi yetu kwa mikono ya jasho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Mmegeuza nafasi za kisiasa kama vijiwe rasmi vya kujikusanyia utajiri wa kufuru mkichota kodi za Watanzania masikini kwa faida zenu na familia zenu. Mnafanya haya huku Watanzania tukiishi maisha magumu ya umasikini na tulikosa huduma za msingi kama matibabu hospitalini, maji safi na salama, dawa na miundombinu bora ya kutuhudumia.

Mmegeuza watoto wa masikini vituko mkiwatoa kwenye mashule, kuwapandisha kwenye maroli eti kuonesha mikutano yenu inajaa na kuungwa mkono wa Watanzania ili kuwarubuni watanzania mnaowachukulia kama mazezeta.

Mmejigeuza kuwa miungu kwa kuua Watanzania wasio na hatia. Mnatuteka tunaowapinga huku mkitupoteza.

Mlidhani mtafanya haya yote milele. Sasa tunawathibitishia hakuna mrefu yasiyo na ncha.

Tarehe 29 Oktoba Watanzania kwa sauti moja tunaenda kuwafundisha nini maana ya kuwaheshimu Wananchi.

Tarehe 29 Oktoba tunaenda kuhitimisha wizi wenu. Mali zenu mlizopata kwa njia za Ufisadi tunaenda kuziangamiza ili muone na nyie maana ya kuwa masikini.

Salam kwako Chalamila.

Hakuna askari atakayemuua Mtanzania masikini ili wewe na wenzako uendelee kuiba na kujinufaisha kwa kodi zetu. Makazi yako ya Iringa na Dar tutayashughulikia.
 
Back
Top Bottom