Mafisadi tuweke wapi pesa?

EUfundedtroll

Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
14
Reaction score
13
naona watu wanapeanza namna ya kufanya biashara, kujenga, biashara ya kilimo, mayayi, kuku, uchawi na mengineyo

Mimi nataka kujua namna rahisi ya kuhamisha pesa nje ya nchi baada ya kupiga dili.

Naamini wadosi wengi hapa Bongo ndio zao lakini sijajua wanatumia technique zipi zaidi ya bureau de change na mengineyo

maana kupitia benki sasa hivi ngumu sana kutoa pesa nje ya nchi bila sababu na gharama kubwa

Huu uzi sio wa wanaopenda mambo ya halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…