Mafisadi wa CCM hawataki mradi wa JNHPP ukamilike kwa makusudi. Angekuwepo Hayati Magufuli ungekuwa umekamilika

Magufuli si ndio alipora uchaguzi Ili ccm kiwe chama pekee kinachoamua Kila kitu hapa nchini, Sasa unajiliza Nini?
Inahusiana nini na kucheleweshwa mradi wa umeme yeye ndiyo anauzuia huko alipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…