Mafisango Vs Chuji, yupi unampa namba kwenye kikosi chako?

Mafisango Vs Chuji, yupi unampa namba kwenye kikosi chako?

Mimi kama mpenda soka, shabiki na mwanachama wa klabu ya Simba naomba nizungumze kitaalamu sasa ili tuelewane naweka mihemko yangu pembeni maana najijua.
.
Mafisango ni binadamu aliyeleta ukamilifu wa neno KIUNGO WA KATI Katika soka la bongo aliutendea haki mpira Mafisango.
Miguu yake ilikuwa na maamuzi ya Kifaransa miguu ambayo inavutia kuitazama muda wote wa mchezo awapo uwanjani.

Mafisango alikuwa chini ya Milovan Cirkovic wakati ule ulikuwa unataka nini huwezi kukipata kutoka kwa Patrick Mafisango utaalamu wa chenga? Shahidi Shedrack Nsajingwa au Godfrey Taita kiungo wa chini mwenye akili ya mpira watakueleza.

Jezi yake namba 30 muda wote imelowa jasho, Jasho la ukweli.

Mwaka 2012 Patrick Mafisango na Mwinyi Kazimoto wakicheza nyuma ya Haruna Moshi Boban kuwazunguka Emanuely Okwi,Felix Sunzu na Uhuru Sulemani na kuipa adhabu Yanga kwa jumla ya goli 5-0 ilikuwa ni kazi ya Mafisango.

Leo hii tuna Clatous Chota Chama mchawi wa pasi kutoka Zambia unaifahamu Zambia?
Na Chama ndie Mafisango mpya moja kati ya viungo wenye uwezo mkubwa sana katika kulitendea haki eneo la kiungo la Simba kwa sasa mchezaji ambae hachoshi kumtazama awapo uwanjani and this was what Mafisango was doing.

Kwa sasa kikosi cha Simba kinabebwa sana na uwepo wa Clatous Chota Chama katika eneo la kiungo Chama anautuma mpira na mpira unamtii ni viungo adimu sana kuwahi kuonekana miaka ya hivi karibuni Simba inajivunia sana huduma ya Chama

Chama ni mtaalamu wa pasi za kila aina pasi za mbali na pasi fupifupi za karibu Chama kapunguza majukumu ya Jonas Mkude na kurahisisha kazi ya upachikaji magoli.

Chama Anakupatia Burudani uwanjani, pasi za uhakika na anafanya kila kiungo anaecheza kando yake kumiliki sehemu ya kiungo vyema yani wote kwa pamoja Chama anafunga magoli matamu (solo goal) hivi unataka nini cha zaidi kutoka kwa Clatous Chama?

Nimechoka na huyu ndiye Mafisango mpya. Rest easy Patrick
Hivi Chama na Mafisango ni wachezaji wenye calibre zinanozoendana? Mbona wako tofauti sana? Chama si shughuli kama Marehemu Mafisango. Chama ni soft sana ukilinganisha na Mafisango, Chama si mkabaji sana kama Mafisango n.k
 
kidunula1
.
Mafisango aliifanya Simba iwe inatawala sana mchezo ndani ya dakika 90 kwa sababu tu yeye alikuwa mmiliki wa eneo la kiungo cha kati. Huyu sio Chama?
.
Hakuna aliyeweza kuja kwake na akachukua mpira kirahisi.
Alikuwa na nguvu, chenga za kuudhi, uwezo wa kupiga pasi za mwisho, uwezo wa kupiga mashuti, na uwezo wa kufunga. Huyu sio Chama?

Come on men nina Mechi mbili za Simba alizocheza Mafisango he's completely similar to Chama.
R.I.P King Mutesa Mafisango Patrick
Huyu huyu Chama wa Zambia ndio anakaba sana?
 
Hapo Kama ndani ya kikosi yupo Boban mbele yake Basi iyo nafasi iliyobaki Nampa MUTESA MAFISANGO Mana ule muunganiko wa MAFISANGO,, Boban na Kazimoto ulikuwa ni wa Moto,,,Nasimama na MAFISANGO.
 
Simba ya mafisango 5 - 0 yanga ya chuji. Na hii sio stori, ni kweli. Sasa sijui unataka kujua nini zaidi.
Ukae ukijua tu Yanga Mara zote akiwa anapigwa bao nyingi Hizo 5 sijui 6 na Simba Huwa Kuna mgogoro mkubwa tu ndani yake!! Hiyo mechi Timu iliweka kambi bagamoyo Kama sikosei Hadi kufikia saa7 mchana timu unajiandaa kusepa ije uwanjani Hakuna kiongozi yoyote aliekuwa anapokea simu Toka kwa meneja wa Timu Alikuwa Hafidhi zile sijui hamasaa sijui Mara Nini ilikuwa Hakuna Timu iliachwa Kama mtoto wa Bata!! Yanga ikitulia Hata Kama pesa Hakuna haifungiki kirahisi rahisi tu rejea mechi za round zote msimu huu wa COVID_19!!!!

Typed Using KIDOLE
 
Wote ni viungo wa kukata na shoka katika ubora wao! Wote kwa nyakati tofauti waliweza kucheza nafasi ya box to box midfielder, holding au central midfield!

Nafasi imebaki moja, unampa nani namba kwenye kikosi chako cha kwanza?

Sent from my iPhone using Tapatalk

Kumfananisha Fundi na Mtaalam Marehemu Patrick Tabu Mutesa Petit Mafisango ( Baba Crespo ) na huyo Muhuni Chuji ni Kumkosea mno Adabu.
 
Ukae ukijua tu Yanga Mara zote akiwa anapigwa bao nyingi Hizo 5 sijui 6 na Simba Huwa Kuna mgogoro mkubwa tu ndani yake!! Hiyo mechi Timu iliweka kambi bagamoyo Kama sikosei Hadi kufikia saa7 mchana timu unajiandaa kusepa ije uwanjani Hakuna kiongozi yoyote aliekuwa anapokea simu Toka kwa meneja wa Timu Alikuwa Hafidhi zile sijui hamasaa sijui Mara Nini ilikuwa Hakuna Timu iliachwa Kama mtoto wa Bata!! Yanga ikitulia Hata Kama pesa Hakuna haifungiki kirahisi rahisi tu rejea mechi za round zote msimu huu wa COVID_19!!!!

Typed Using KIDOLE
Acha kujitetea. Je wajua kuwa ukitoa mwaka huu, raundi zote yanga imeifunga simba ikiwa ktk mgogoro ila simba hatutumii hiyo sababu?
 
Ukae ukijua tu Yanga Mara zote akiwa anapigwa bao nyingi Hizo 5 sijui 6 na Simba Huwa Kuna mgogoro mkubwa tu ndani yake!! Hiyo mechi Timu iliweka kambi bagamoyo Kama sikosei Hadi kufikia saa7 mchana timu unajiandaa kusepa ije uwanjani Hakuna kiongozi yoyote aliekuwa anapokea simu Toka kwa meneja wa Timu Alikuwa Hafidhi zile sijui hamasaa sijui Mara Nini ilikuwa Hakuna Timu iliachwa Kama mtoto wa Bata!! Yanga ikitulia Hata Kama pesa Hakuna haifungiki kirahisi rahisi tu rejea mechi za round zote msimu huu wa COVID_19!!!!

Typed Using KIDOLE

Historia inasema Yanga alikula 5 hizo nyingine ni hadithi tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ukae ukijua tu Yanga Mara zote akiwa anapigwa bao nyingi Hizo 5 sijui 6 na Simba Huwa Kuna mgogoro mkubwa tu ndani yake!! Hiyo mechi Timu iliweka kambi bagamoyo Kama sikosei Hadi kufikia saa7 mchana timu unajiandaa kusepa ije uwanjani Hakuna kiongozi yoyote aliekuwa anapokea simu Toka kwa meneja wa Timu Alikuwa Hafidhi zile sijui hamasaa sijui Mara Nini ilikuwa Hakuna Timu iliachwa Kama mtoto wa Bata!! Yanga ikitulia Hata Kama pesa Hakuna haifungiki kirahisi rahisi tu rejea mechi za round zote msimu huu wa COVID_19!!!!

Typed Using KIDOLE
Unazungumzia ya Morrison!?
 
Chuji ktk ubora wake hakuna cha Mafisango wala mapingango ambae angeweza kubattle nae!!
 
Wote ni viungo wa kukata na shoka katika ubora wao! Wote kwa nyakati tofauti waliweza kucheza nafasi ya box to box midfielder, holding au central midfield!

Nafasi imebaki moja, unampa nani namba kwenye kikosi chako cha kwanza?

Sent from my iPhone using Tapatalk
Mitihan Sana Mafisango amecheza misimu miwili tu TANZANIA lakini yote alikuwa vizuri.Tofauti na chuji aliecheza misimu mingi mizuri na ya hovyo.

Wote wakiwa kwenye ubora nachukua Chuji
 
The late Patrick Mutesa Mafisango.
Kwa sababu kadhaa
1. Alifanya nishuhudie live uwanjani tukimpiga utopolo 5-0.
.
2. Patrick alikuwa na uwezo mkubwa wa kucheza kiungo akikaba kwa nguvu na kupandisha mashambulizi kwa ustadi wa hali ya juu. Thank God tumepata mrithi wake japo hajamfikia sana Triple C mwamba wa Lusaka.
Mmmhhh,
Hapo kwa Chama sio kweli. Chama ni mzuri akiwa na mpira tu, ila sio mkabaji. Mutesa Patrick Mafisango alikua mkabaji mzuri tu.

Pili uchezaji wa Chama ni slow kidogo wakati Mafisango alikua na kasi.
 
Back
Top Bottom