Mafoleni ya Bongo

Siku nyingine wekeni picha kwa mtindo huu, sio kwa atachment.
 
Labda hawa jamaa wa DART watapunguza, mnasemaje wadau?
 
@Invisible NRB is terrible kwa kweli.....
hat apa kutanulia kwanza hamna...hapo ndo utamu unakuja zaidi...
shuri upate kimuhemuhe
 
Ndio maana huwa naweleza kuwa bora pikipiki kuliko gari, huwa sieleweki.
 
Bongo naona cha mtoto, hii ni Nairobi 🙂













Mzee, hapa ni Nairobi wakati wa peak hours, yaani Dar cha mtoto bora uende kwa mguu, best inakubidi utembee na kopo la panadol manake kichwa kitagonga dunia nzima!
 
Aisee NBI is a disaster!!!!! mmmmmmmmmm! it tyakes me over an hr to cover a distance of less than 5km!!! kazi tunayo si haba!!!
 
Karibuni huku mikoani jamani hakuna foleni wala hatubanani
 
Tumekuwa na NIT miaka na miaka!
Bongo ni wachovu tu,mimi ,wewe na huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…