Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waitu, unajua sometimes tunajaribu kuzitupia kwa style hiyo inakuwa haikuji.Siku nyingine wekeni picha kwa mtindo huu, sio kwa atachment.
Mzee, hapa ni Nairobi wakati wa peak hours, yaani Dar cha mtoto bora uende kwa mguu, best inakubidi utembee na kopo la panadol manake kichwa kitagonga dunia nzima!Bongo naona cha mtoto, hii ni Nairobi 🙂
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibuni huku mikoani jamani hakuna foleni wala hatubanani