Mafua/allergy na dawa za kichina

Mafua/allergy na dawa za kichina

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Wadau habari za majukumu.

Kuna tetesi kuwa kuna dawa za kichina ambazo zinauwezo mkubwa kutibu mafua makali na Allegies(MZIO)
Nauliza kama kuna mtu alikwisha kutumia na kupona kabisa. Nina mafua makali kuanzia 2003 mpaka sasa ambyo imekuwa ikinisumbua sana, lazima kila siku niwe na hengachief mbili, pamoja na kutumia madawa mengi ya mafua na kubadili mikoa ya kuishi, kuboresha usafi lakini bado hali ni tete.

Laima kwa siku nipige chafya nyingi kama ishirini sasa naona it is too much:frusty: mpaka najikalia mwenyewe nisiwe kero kwa wengine.

Kama kuna mtu ana experience na madwa ya kichine anitonye nani nipate uponjaji.

Asante kwa mchango wa mawazo
 
Pole Mkuu wa tatizo hilo.Je umewahi tumia Sinucon tablets? (Sina uhakika na jina lake lingine la kitaalamu) Mimi pia niliwahi kuwa na allergy na bwana mmoja aliyekuwa bosi wangu alikuwa analeta kutoka SA.

Kinyume na hapo labda uanze kutumia kitunguu saumu (capsule as natural remedy) kila asubuhi, wengi imewasaidia baada ya mwezi mmoja au miwili utaona mabadiliko.
 
Kwa kweli hiyo dawa Sinucon tablets sijawahi kutumia sijui inapatika wapi? Lakini nilishawahi kutumia juice ya mchanganyiko wakitungu saumu na tangawizi japo ilsaidia sana lakini nafuu ni ya kwa mda tu baada ya siku chache mambo yalirudia kama kawaida.

Naomba kuuliza kitungu saaumu kama capsule inapatikana wapi kaka?
 
Daa,pole sana mkuu jaribu kwenda hospital kubwa za rufaa kwa uchunguzi zaidi,hakuna linaloshindikana chini ya jua.......
 
Back
Top Bottom