Mafua aya asubuhi

Mafua aya asubuhi

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Nasumbuliwa na mafua kila ninapoamka kila siku. Lakini ikifikia mda wa mchana au jioni yanapotea. Nikiamka siku ya pili tena vilelevile.
Naomba ushauri. Tatizo ni nini hasa, na suluhisho lake.
 
Wewe ni Mwanamke au Mwanaume? Tuanzie hapa Kwanza.
 
Sawa. Jitahidi uwe unakunywa sana Maji Mkuu halafu hakikisha kila unapokuwa unalima ' Shamba Mbunye ' lako uwe unapanda Mbegu zako zote na Kiusahihi kabisa katika ' Mashimo ' yake yaliyotengwa na usibaki hata na Mbegu moja katika ' Ghala Mkuyenge ' lako na hiyo hali itakuwa ni historia Kwako.

Kila la kheri!
 
je inasababishwa na nini?

na naomba kujua mahusiano yake nahilo suala la kikubwa?
 
Vumbi la godoro hilo
Badili hilo godoro na piga deki chumba
Na uangalie dari pia kama safi
Nafikiri tatizo ni hilo
Unaweza kuwa na allergy na vumbi
 
Sawa. Jitahidi uwe unakunywa sana Maji Mkuu halafu hakikisha kila unapokuwa unalima ' Shamba Mbunye ' lako uwe unapanda Mbegu zako zote na Kiusahihi kabisa katika ' Mashimo ' yake yaliyotengwa na usibaki hata na Mbegu moja katika ' Ghala Mkuyenge ' lako na hiyo hali itakuwa ni historia Kwako.

Kila la kheri!
Kwasisi ambao hatuna wake/wapenzi na hatuna hali hiyo unatusaidiaje?
 
chumba unacho lala kina hewa ya kutosha?
unapikia kwenye hicho chumba unacho lala?
 
Back
Top Bottom